Huawei Mobile Broadband EC122 (Uchakachuaji)

vp ulifanikiwa kupata solution ya ishu yako ya zantel? maana na mii imntokea na nimeshindwa kupata suluhu. na nimemjaribu kufanya kama jamaa alivoelekeza nikakuta kila kitu kiko poa but tatzo liko pale pale.

Unapata network signal vizuri?
 
Me pia limenitokea hilo tatizo leo ila baadae nikapata ufumbuzi kama ifuatavyo;
usibonyeze ile 'connect' iliyopo kwny application yako'mobile patner' badala zake nenda kwenye icon ya network iliyopo karibu na icon ya kuongezea sauti>ibofye>itakupa option mbalimbali za network kama zipo nyingi,bofya Zantel then connect.natumai net itakubali
 
umeshaisajili? Modem zinasajiliwa kama simu(za zantel) maana naona solution zimebase kama vile umewahi tumia
 
jamani mwenye maujanja ya ku unlock modem aina ya Huawei EC122 anisaidie coz nakosa raha kabisa kwa kutumia single sim card
 
Professionally huawei ec122 ni modem zinazotumia technology ya CDMA, so hata uki fanikiwa ku unlock huta weza kuitumia kama unavyotarajia, coz uta hitaji kutumia vodacom, tigo au airtel ambao wao wanatumia GSM technology. Ni sawa na kuweka maji kwenye engine petrol kwenye rejeta, wont work man.
 
Hahahaa....i know, nlitaka"ga" kutumia ttcl! lol
 
ngoja mtaaluma niingie sandukuni kusaka manotes alafu nitakupa maujanja ya ku-crack na kubomoa kbs. hizi model nilipelekwa kuzisomea Iran mwaka 1650 kabla hata ya internet kuzinduliwa :madgrin:
 
Unataka kuitumia kwenye mtandao gani boss wangu? Ila nnavyojua mimi modem hiyo kwa hapa tanzania unaweza itumia kwa TTCL,sasatel na zantel tu. Zantel wanauza CDMA modems tu na sio 3G kama voda na wengine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom