Huawei Mobile Broadband EC122 (Uchakachuaji)

Huawei Mobile Broadband EC122 (Uchakachuaji)

Habari hapa nahitaji kujua nawezaje ku-unlock huawei modem za zantel(white)........................Huawei EC12
 
how to unlock huawei EC122 usb modem. Msaada please
 
hata mimi ninayo modem kama iyo wataalam wa hii kitu tunaomba msaada wenu.
 
Mkuu kiber nimedownload iyo firmware na installation ikamalizika vizuri lakini nashindwa ku-establish network ili niweze ku access internet kwenye PC yangu alafu lile box la sasatel bado kama kuna namna ya kulitoa ningependa kujua pia haya maneno "only the specified UIM card can be used on the device" sijayaelewa nitashukuru kwa msaada wako.
 
mkuu kiber nimedownload iyo firmware na installation ikamalizika vizuri lakini nashindwa ku-establish network ili niweze ku access internet kwenye pc yangu alafu lile box la sasatel bado kama kuna namna ya kulitoa ningependa kujua pia haya maneno "only the specified uim card can be used on the device" sijayaelewa nitashukuru kwa msaada wako.
vipi imekubali????????
 
how to unlock huawei EC122 usb modem. Msaada please

CDMA hiyo huwezi ku-unlock brother.....na ni system iliyo kwa mitandao ya zantel na ttcl tu, tigo,voda,airtel wote ni GSM so hutafanikiwa hapo
 
jamani naomba msaada wenu modem yangu ya zantel ec122 nilijaribu kutaka kuiunlock nimejaribu kuiupdate virmware yake na mka ikamaliza ila ilipo maliza network ikawa haipandi jamani naomba msaada wenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom