Huawei Mobile Broadband EC122 (Uchakachuaji) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huawei Mobile Broadband EC122 (Uchakachuaji)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Chipukizi, May 21, 2011.

 1. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Only CDMA Engineer can do it. Wewe uwezi ata tukikupatia software.
  When youy do programing any CDMA terminal the switch at network provider should. Be programed to and feeded with terminal information.So kama unataka kutumia TTCL then TTCL inapidi uwape some information za hiyo modem yako waziprogram kwenye mtambo wao unaocontrol hiyo network
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,574
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  Asante kwa hilo nitajaribu kuonana nao (TTCL) tatizo lipo kwenye kumpata mtaalamu anaeweza kubadili nadhani kuna uvunjifu wa sheria hapo unafanyika.
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kwenye hii forum GSM-Forum by zfrank redirect kuna articles za simu na modem m ila sema mpangilio wa nondo zao unaweza kupata azi kupata kitu unachotaka. But mostof the solutions works
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Wakuu hii modem ya Zantel inaweza kufunguka nikatumia line zote?

  Tafadhali, naomba msaada wenu wakuu!
   
 6. s

  siwalaze Senior Member

  #6
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 124
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Habari wadau,

  Naombeni msaada wa kuchakachua modem hii:

  HUAWEI Mobile Connect
  Model: HUAWEI EC121
  CDMA 1X USB Stick
  FCC ID:QISEC121
  ESN: 12D510AC
  S/N: KT7NAB1930700293
   
 7. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  sidhani kama kuna uwezekano huo mkuu unaweza ukachakachua tigo, voda au zain na sio zantel
   
 8. s

  siwalaze Senior Member

  #8
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 124
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa sababu gani mkuu!!?? please hebu dadafua kidogo!!
   
 9. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,574
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
 10. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  tigo, voda na zain zote zinatumia sim card kwahiyo unaweza ukachakakua ukabadilisha sim card lakini mfumo wa zantel ni tofauti
   
 11. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  simu za cdma usijisumbue bure. Huwezi na hackers wote bado wanasota ni jinsi gani wanaweza kuzifungua. Kama unataka modem za kuchakachua hamia voda airtel au tigo basi
   
 12. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #12
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Nisaidieni jinsi ya ku-unlock Orange Moderm Huawei EC122 .

  Asanteni
   
 13. newMbishi

  newMbishi Senior Member

  #13
  Aug 25, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  nipe imei no yake nikupe unlock code
   
 14. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #14
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Hiyo naipata wapi?? au kwenye box lake??
   
 15. G

  GHANI JF-Expert Member

  #15
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  yap cheki kwenye box au hata hiyo modem you will see 15 digits/numbers there!
   
 16. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #16
  Aug 26, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Naona namba hizi: 639200208316414

  Niko sawa ama
   
 17. G

  GHANI JF-Expert Member

  #17
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  ni sawa ikiweka line tofauti hua inakuulizaje.
   
 18. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #18
  Sep 17, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Jamani kwa wataalam wetu mwenye uwezo wa ku unlock hizi moderm za zantel ec 122 anisaidie maelekezo hizi moderm hazina imei no.

  Nimejaribu kufuatilia thread kadhaa zote zimeishia njiani bila solution kwa wataalamu tuasaidien plz
   
 19. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #19
  Sep 17, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kama kweli umefuatilia humu lazima umeshaona jibu. Ukweli ni kwamba hizi modem za zantel hazichakachuliki. Modem zote zinazotumia tekelinalokujia aka technology ya cdma kama za zantel, ttcl na sasatel hazichakachuliki.Tulia tu na uendelee kutumia hizo.
   
 20. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #20
  Sep 18, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  zinachakachulika na programer kuna thread nyingi google but pasua kichwa me pia nnayo but sielewi lolote. Ila nice modem ina evdo na download speed hadi 2mb/s. Kama kuna mjuzi zaidi atujuzee
   
Loading...