Huawei kurusha satelaiti mbili za 6G mwezi Julai

Ww huna facts.
Sipendi watu ambao hawataki kukubali kuzidiwa ujuzi. Mkuu mkwawa ndiyo jicho letu la tech. Hakurupuki, wala hana majivuno na ni mtu wa facts. Wewe ni layman tu kwa mkuu mkwawa. I don't mean to be rude but, you ain't kwow shit.
Teh teh teh hii ID ilipotea sana. Karibuv tena.
 
Near field communication haina madhara,

Moja ya umuhimu wa nfc ni cardless payment.

Unatoa hela kwenye baadhi ya atm au kufanya malipo bila kutumia kadi za atm.
Unachofanya unaweka simu karibu na kifaa kinachosapoti nfc na hiko kifaa kitasoma details za kadi na utaweza fanya mihamala yako.

Samsung pay na google pay inakubali nfc, ila hapa tz sidhani kama kuna sehemu wanatumia nfc kwa ajili ya transaction.

Matumizi ya nfc yako mengi zaidi ya payment
Kuna nyingine hii imepotea sana ni kitambo sijamuona humu thesym
Teh teh teh hii ID ilipotea sana. Karibuv tena.
 
Unaweza tetea hoja yako kwa ushahidi? Mfano ukaleta speed test ya starlink ikiipita 4g ya Tanzania?

Voda kwangu hapa ping ni 17ms
View attachment 1770361

Nakuruhusu unaweza Google pia starlink ikiwa na ping ndogo zaidi?

Starlink ipo faster against satelite wenzake, mpinzani wake kwa sasa ni 3g, ila inaitwa na 4g na 5g ndio kabisa hata haifananishiki.
Achan na na mambo ya pind bro tuongelee vitu practical ushawahi download anything ikaandika hyo speed ya hata 30mbps starlink last yeae wame achieve 100mbps UK!
 
Achan na na mambo ya pind bro tuongelee vitu practical ushawahi download anything ikaandika hyo speed ya hata 30mbps starlink last yeae wame achieve 100mbps UK!
Unless hujui lolote la network huwezi uka ignore suala la ping. Ping ina affect mambo haya
-kuangalia chochote online live kama mpira, matamasha etc
-kucheza games
-kubrowse
-kupiga simu etc

Asilimia kubwa ya mambo unayo fanya day to day ni ping, hapa bongo kuna satelite kibao Zinafika hio 100mbps watu hawatumii Sababu zipo slow.

Download speed ina kusaidia pale unapodownload kwa haraka.

Kuhusu mimi kupata 30mbps ndio nimepata, kwa voda kawaida kufika 60mbps na Halotel kubwa kabisa kuipata ni 200mbps peak na stable inakaa 80mbps

Huu uzi wa halotel watu walikuwa wanapost speed zao.


Assume Una network 1gbps ina ping 500ms na network nyengine 5mbps ina ping 1ms basi yenye 5mbps itastream mpira bila kunata Nata na yenye 1gbps itanatanata.

Ndio maana kibongo bongo unakuta watu wanaweka zuku 10mbps na wana stream vizuri tu Sababu zuku ina local ping 2ms.

So again Starlink advantage yake ni coverage maeneo ambayo hakuna mobile data na fiber kama vijijini na sio replacement yake.
 
Lete ushahidi wa hio speed mkuu, nimetoa yangu latency ni 17ms na ni huku Tanzania mwisho Wa Dunia,

Nchi kama za Scandinavia, Korea, Japan etc 4g theoretically inazidi 1gbs na wanayo pata user average inazidi 100mbps, mfano korea mwezi wa tatu ni around 170mbps (according to ookla), na starlink average ni 50 mpaka 80 (hao hao Ookla),

Na kikubwa kabisa ni ping, ping za 30ms tulikuwa tunazipata tangu Enzi za 3g, kwenye 4g ikashuka chini 20ms na 5g ni single digit chini ya 10. Fiber hizi za kina Zuku ni 1ms ama 2ms tu, ilichofikia starlink ni between hio 3g na 4g bado haijafika level za 4g

Inachoaifiwa ni kwamba ina speed kuliko satelite nyengine itafaidisha watu wa vijijini, ila watu walio mjini na wenye access ya mobile data ama fiber haiwahusu.
Understood Sir
 
Back
Top Bottom