How your home screen looklike

Cjaona MTU mwenye VPN ,mwenye search engine ya Duck Duck Go ,Hahahaha
Mkuu nielekeze kuset vpn kwa iOS nami neset asee
Badala ya kufanya manual configuration nenda Aple store download- adblock mobile baada ya ku install na kuiwasha nenda settings kwenye vpn utaikuta na huko iweke on pia.
 

Attachments

  • 8A66778A-E32E-4C2F-BA1E-500F71E02C04.png
    57.6 KB · Views: 29
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…