CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 930
Wanakuonea wivu man!
Hv unatumiaga poda gani vile?
Hv unatumiaga poda gani vile?
U wanna know my appearance? This is how i look like.
Kwani kuna ubaya nikionekana kama hivi nilivyo?
nitonye!mwambie mshikaji anielekeze poda anayotumia ili nikamnunulie na demu wangu.
ubaya upo tena mkubwa ndugu yangu! io sura chachu balaa mmh! kama umelamba sumu!
mungu bariki nitty asiwe iv in reality mmh!
Mkuu si unamuona mshikaji alivyo mrembo?Huo sasa ni ugomvi wa mawe mkuu.
Inalabwa kama"ALAMBA ALAMBA"Hahahahaaaa sumu inalambwaje???
jikaze japo kiduchu basi mtoto wa kiume.
Mtoto jicho nyanya kama umekula kungumanga?
kwani biashura au?
Kama una uhakika hii ndio picha yako halisi weka basi na jina lako halisi mbona unaogopa kuweka jina
Wanakuonea wivu man!
Hv unatumiaga poda gani vile?
Mkuu si unamuona mshikaji alivyo mrembo?
hivi wewe hujaacha tu tabia yako ya kunipiga majungu? Ngoja nimuite Lizzy aje akupe vidonge vyako
U wanna know my appearance? This is how i look like.
Chukua kioo ujitazame mkuu.Hayo matusi sasa mkuu. Mimi nimekuwa mrembo tena?