How you look like?

Wewe dudu jeusi inaonekana hata roho yako ni nyeusi, unapenda uchokozi sana wewe, na vile Y_M sio bingwa wa kucheza na maneno kama wewe ndio mana unamwonea! Mwache mwenzio, hajawahi kutofautiana na yeyote kwa ubaya why mnamfanya akose raha? Sio vizuri hata Mungu hapendi!
Basi sweetlady ngoja nimuache,
Basi mwambie asalimu amri kwanza basi!
 
Ukimtaja husninyo unazidi kunletea mshituko, mabaki ya mimba nayo yatatoka bana...
Mshtuko wa nini sasa? mbona yuko kwenye mikono salama tu. wewe mwambie nitonye akuppatie ujauzito mwengine haraka kabla Fellow tablet hajafkuzwa kazi mateniti.
 
Mshtuko wa nini sasa? mbona yuko kwenye mikono salama tu. wewe mwambie nitonye akuppatie ujauzito mwengine haraka kabla Fellow tablet hajafkuzwa kazi mateniti.
Wivu sina ila roho inauma!... FT alishafukuzwa zamani inasemekana alikuwa kinara wa mgomo wa madoc. Siku hizi ni konda..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom