klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Itakuwa alikosea spelling ni kweli nimejitoa fesbuku ili nipate muda mwingi wa kumpigia misele husninyo apa JF.Kuna mzushi alinambie eti klorokwini kajitoa jf, nikapata mshtuko ikatoka!.
Itakuwa alikosea spelling ni kweli nimejitoa fesbuku ili nipate muda mwingi wa kumpigia misele husninyo apa JF.Kuna mzushi alinambie eti klorokwini kajitoa jf, nikapata mshtuko ikatoka!.
Sasa nimeamini kweli huna kazi ya kufanya... Lala basi.teh teh teh!kumbe Y.M.anakaa-nyagwa?????haahahaha!!ndio maana mrembo.
Ngoja nimtafute kwanza!!
Ukimtaja husninyo unazidi kunletea mshituko, mabaki ya mimba nayo yatatoka bana...Itakuwa alikosea spelling ni kweli nimejitoa fesbuku ili nipate muda mwingi wa kumpigia misele husninyo apa JF.
Mkuu kumbe unakaa-nyagwa?????U wanna know my appearance? This is how i look like.
![]()
Sasa nimeamini kweli huna kazi ya kufanya... Lala basi.
Unaniangusha sasa Y_M, kumbe wewe mwepesi kukata tamaa! Umesahau kuna binadamu kazi yao kubwa ni kushusha na kukatisha tamaa wenzao? Potezea bana!Aaaahhh!! Si hawa jamaaa
Nalijulia wapi?Kulala joto mkuu sina feni,chumba cha uani,we mwenyewe si unalijua geto langu mkuu jinsi lilivyo bana??????
Unaniangusha sasa Y_M, kumbe wewe mwepesi kukata tamaa! Umesahau kuna binadamu kazi yao kubwa ni kushusha na kukatisha tamaa wenzao? Potezea bana!
We sweetlady....kwa nn unamsaidia kujitetea????mwache apambane,yeye si kasema tumemwaga mboga yeye kamwaga ugali????sasa mwache auzoe ugali kwanza!!!Unaniangusha sasa Y_M, kumbe wewe mwepesi kukata tamaa! Umesahau kuna binadamu kazi yao kubwa ni kushusha na kukatisha tamaa wenzao? Potezea bana!
Unaumia huku unapambana!.. Na kwanza cha kukuumiza ni kipi hapa?? Usiwape ushindi maadui zako!Wengine mioyo yetu midogo kama piritoni. Hatuchelewi kuumia
Unaumia huku unapambana!.. Na kwanza cha kukuumiza ni kipi hapa?? Usiwape ushindi maadui zako!
Wewe dudu jeusi inaonekana hata roho yako ni nyeusi, unapenda uchokozi sana wewe, na vile Y_M sio bingwa wa kucheza na maneno kama wewe ndio mana unamwonea! Mwache mwenzio, hajawahi kutofautiana na yeyote kwa ubaya why mnamfanya akose raha? Sio vizuri hata Mungu hapendi!We sweetlady....kwa nn unamsaidia kujitetea????mwache apambane,yeye si kasema tumemwaga mboga yeye kamwaga ugali????sasa mwache auzoe ugali kwanza!!!
Teh teh,hahaha,mhhh.U wanna know my appearance? This is how i look like.
![]()
Unaumia huku unapambana!.. Na kwanza cha kukuumiza ni kipi hapa?? Usiwape ushindi maadui zako!
Ok, potezea vile ushagundua havina msingi wala mantiki!Siwezi kupambana kwa vitu visivyokuwa na msingi wala mantiki
Ok, potezea vile ushagundua havina msingi wala mantiki!
Ok, potezea vile ushagundua havina msingi wala mantiki!
Basi sweetlady ngoja nimuache,Wewe dudu jeusi inaonekana hata roho yako ni nyeusi, unapenda uchokozi sana wewe, na vile Y_M sio bingwa wa kucheza na maneno kama wewe ndio mana unamwonea! Mwache mwenzio, hajawahi kutofautiana na yeyote kwa ubaya why mnamfanya akose raha? Sio vizuri hata Mungu hapendi!
Your welcome!Poa. By the way thanks for being there for me. I hope one day i will be able to return the favor
Afu wewe nikikukamata! Labda usikatize mitaa ya kwetu! Mchokozi sana wewe! Asalimu amri ndio nini maana yake?Basi sweetlady ngoja nimuache,
Basi mwambie asalimu amri kwanza basi!