CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
nyagwa!!!anakaa-nyagwa!!!!!
Anakaa wapi???????????Ebu rudia??
Maana sijakuelewa kabisa.
nyagwa!!!anakaa-nyagwa!!!!!
Anakaa wapi???????????Ebu rudia??
Maana sijakuelewa kabisa.
Yakwangu imetoka kwa mshituko usiku wa kuamkia leo...nina pua kama uchi wa punda dume. Kulaleki.
Sweetlady na shosti mimba zenu zinaendeleaje?
Me loves you vile unanilinda kila dakika, but plz bana mwacheni kijana wa watu Y_M apumzike, mnamsakama sana bila sababu!.. Amewakosea nini?Embu shika adabu yako unamjua huyu au kwa sababu anakutetea?
Yakwangu imetoka kwa mshituko usiku wa kuamkia leo...
Nilikwambia umpatie nitonye mkologo ukaleta za kuleta sasa unaoona analeta mishtuko ya zarura.Yakwangu imetoka kwa mshituko usiku wa kuamkia leo...
Me loves you vile unanilinda kila dakika, but plz bana mwacheni kijana wa watu Y_M apumzike, mnamsakama sana bila sababu!.. Amewakosea nini?
Hahahahaaa! Nilimpatia akabadilika mpaka nywele ndio nikapata mshituko lol, hebu vuta picha klorokwini ile sura ya nitonye iwe nyeupe peee!Nilikwambia umpatie nitonye mkologo ukaleta za kuleta sasa unaoona analeta mishtuko ya zarura.
Nilikwambia umpatie nitonye mkologo ukaleta za kuleta sasa unaoona analeta mishtuko ya zarura.
Kuna mzushi alinambie eti klorokwini kajitoa jf, nikapata mshtuko ikatoka!.Mhsituko wa nini tena sweetlady?
Najuuuta kuingia JF
Bora umwambie wewe labda ataelewa!.Katika vyote alivyozima Sweetylady ngozi yangu ni mojawapo
Kwanini unajuta Y_M?
Me loves you vile unanilinda kila dakika, but plz bana mwacheni kijana wa watu Y_M apumzike, mnamsakama sana bila sababu!.. Amewakosea nini?
Aaaahhh!! Si hawa jamaaa
Wamefanya nini?
Hahahahaaa! Nilimpatia akabadilika mpaka nywele ndio nikapata mshituko lol, hebu vuta picha klorokwini ile sura ya nitonye iwe nyeupe peee!
Enzi zile za kuchunana ngozi hii ngozi yako ingekuwa dili la bingoKatika vyote alivyozima Sweetylady ngozi yangu ni mojawapo
Hahahahaha! Uwiii mbavu zangu jamani? Eti dinosaur lol... Lawyer umepinda ati!hehehe akikuwa mweupe hapo ndo tutasibitisha kuwa evolusheni ni kweli, anaweza akafanana na dinosaur