Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,224
😂😂😂unadhani nani akufwate?? eti ooh nimeboeka! sijui nini! 😂😂 humu kuna watu wanaojielewa! hivi huna hela unadhani atakuja nani?? mr mngese ooh sorry wangeci!??.. halafu eti unamwambia jamaa anakula ugali?. usitake tuanze kuyaweka hapa maisha yenu mnayoishi yalivyo mabaya namna ile! 😂😂Haiya umejua leo,hio ni.poa ka umejua n first sikusema nadai dem as in r/shp nadai mtu mwenye tunaeza funzana inaitwa ku exchange culture in other words
Sent using Jamii Forums mobile app