How well do you know Kenyan music?

How well do you know Kenyan music?

wapo weng tuu mfano
Elani
Dela
nameless
camp muller
wyre.......nk
kenyan music is very well hasa wakishagundua mahali padogo....they will reach far away
True n thats what Naija did walipata a certain beat wakai make it their own pia sisi hapa tuna genge but nikaa bdo haiinuki venye inafaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OK, maji ya chupa ya Kilimanjaro ( Its a most popular bottled water brand in Tanzania) yanapatikana huko Kenya? Hlf Naipenda nyimbo ya camp mulla inaitwa party don't stop Latimore Mimo wangeci
Duh,,that song ni ya zamani sana,,ina kaa miaka 9 sasa toka imetoka,na hata hilo group sidhan kama bado lipo mkuu
 
wakenya hiki sasa ndo lugha gani '' niliona juice ya azam ka si confuse,but nairobi ni hard kuzipata ''
Una shida ya kichwa ama,umeskia nikiingilia Tzanian yeyote na lugha yake,grow up hauezi tusi/dharau mtu juu ya lugha yake kitu unafaa ujue its that language that makes diffrence between mi na wewe and Kenya n Tanzanian,that language gives mi ownership ,n btw mbona ww pekee ndo unateta about my swahili,grow up acha bitch behaviour ,be a man

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha yeah ngoma kali ile,ili hit hata huku pia

Femi One
Fena Gitu
Muthon drummer queen
Petra

Halafu kuna yule demu alikuwa feat na Khaligraph kwenye ile hit singer ya MicaSa

Naiboy ni zee
Petra ni muhindi,alafu huyo dem wa micasa na khali,at that time i think they were dating,but sai sijui,Fena gitu ni mkali,Naiboy ni m zii sana anafaa atoe collabo sasa na Tzanian rapper mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una shida ya kichwa ama,umeskia nikiingilia Tzanian yeyote na lugha yake,grow up hauezi tusi/dharau mtu juu ya lugha yake kitu unafaa ujue its that language that makes diffrence between mi na wewe and Kenya n Tanzanian,that language gives mi ownership ,n btw mbona ww pekee ndo unateta about my swahili,grow up acha bitch behaviour ,be a man

Sent using Jamii Forums mobile app
pia sijaelewa hebu andika kiingereza ,tunakielewa kuliko kiswahili chenu
 
OK, maji ya chupa ya Kilimanjaro ( Its a most popular bottled water brand in Tanzania) yanapatikana huko Kenya? Hlf Naipenda nyimbo ya camp mulla inaitwa party don't stop Latimore Mimo wangeci
Gai hapo kwa maji sijui aki huku company za maji ni mob sana hata huwa hatuziamini maybe apart from dasani ndo iko famous but maybe iko,btw nimeambiwa na bheste yangu sai that (eatv)ilikuwa kitambo that time nilikuwa mtoto sana lakini ikapotea,n about camp mulla party dont stop ni kali sana lakini Addicted ndo iliwainua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usi criticize kenyan music,juu kuna watu wanapenda,na pia kuna watu who dont listen to Tz music btw apart from maua sama na kwangaru sina any Tz song in my phone,but hata kama siskizi your music siezi wadharau na kusema mko chini,btw hata nigerians wali admit our music is good ni venye haipati marketing poa kuna corruption mahali,so who are you,n btw some pple in nigeria n SA still think Diamond is kenyan,usishangae pia wakisema Huyo sijui umemuita Mbosso ni mkenya haha,sikuwa nataka kuwa rude but umeniboo tu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Asee sasa we ndo unajisumbua kutafuta watanzania wanaojua mziki wenu ,mi nyimbo za kenya nazipenda ni mbili tu na zote za the bugs ,nipe kamoja na wezere basii nazo za zamani bro wakenya ni wabunifu wakiachana na kiswahili ovyo cha ''juu ya nini'' tutawasikia
 
Gai hapo kwa maji sijui aki huku company za maji ni mob sana hata huwa hatuziamini maybe apart from dasani ndo iko famous but maybe iko,btw nimeambiwa na bheste yangu sai that (eatv)ilikuwa kitambo that time nilikuwa mtoto sana lakini ikapotea,n about camp mulla party dont stop ni kali sana lakini Addicted ndo iliwainua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
aki ni nini ?
mob ni nini ?
sai ndo sahivi ?
hebu kula magitheri ulale hakuna mtu anataka kusikia mavitu ya kenya na somalia
 
Asee sasa we ndo unajisumbua kutafuta watanzania wanaojua mziki wenu ,mi nyimbo za kenya nazipenda ni mbili tu na zote za the bugs ,nipe kamoja na wezere basii nazo za zamani bro wakenya ni wabunifu wakiachana na kiswahili ovyo cha ''juu ya nini'' tutawasikia
Utangoja hauezi change culture,hio ni culture yetu,na twajivunia hakuna mtu amekukataza ku embrace your swahili n culture,unajua Tz na kenya ni neighbours but nimeanza kuona tuna culture tofauti sana as in hatukaribiani,hata mombasa hawa karibiani na nyinyi,coast speak good swahili than huku kwingine but uzuri ni kuwa nikiongea hii lugha yangu unayoitusi ataiskia tu,na pia yy akiongea ntamuelewa but Tzanian and by Tzanian i mean you,ukiongea sielewi ukitext sielewi,but mi sijadhalilisha your swahili,n thats the diffrence btwn kenya na Tz wee uki ni insult mi nakuhurumia tu,Magufuli does the same but kenyatta kila saa anamwabia yy anaubaya na yy,its kenyan logic kupenda EAC juu they will forever be our neighbours pende tusipende

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asee sasa we ndo unajisumbua kutafuta watanzania wanaojua mziki wenu ,mi nyimbo za kenya nazipenda ni mbili tu na zote za the bugs ,nipe kamoja na wezere basii nazo za zamani bro wakenya ni wabunifu wakiachana na kiswahili ovyo cha ''juu ya nini'' tutawasikia
Mwingine leo alitutusi ati tunaongea kiswahili na mapua ati tuna bana pua,hata sikumuelewa what he meant ,whats up guys na hii swahili yetu,its either inawauma ama mko jealous juu umetry kuongea ka sisi ukalemewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aki ni nini ?
mob ni nini ?
sai ndo sahivi ?
hebu kula magitheri ulale hakuna mtu anataka kusikia mavitu ya kenya na somalia
Talk for your self,na haujashikwa mguu,brotherman your free to sleep,n achana mi na my swahili,btw hakuna kiswahili poa na mbaya so its means your swahili is not anyway better than mine,Peleka kiburi huko kwenu,aki usifanye nikuchamgamkie hapa,Mkenya akijam huwa mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom