Hahahahh this topic imenifurahisha for sure.
Wakenya hawajiamini,that's y they know much about tz and we know very little about them,cause we don't care.tuko na shida zetu tuskize zako kwa nini?
Kila sentensi watakwambia tuko juu yenu watz,tumewazid mengi.Ok so what? Mtu aliyekuzid hatakiwi kusema all the time, ni wewe ulozidiwa ni jukumu lako ,kusema sijazidiwa and to prove otherwise.
Nina muda mrefu sijasikiliza wala kutazama nyimbo za Kenya.though ni mpenz wa mziki,nadhan tatizo wameshindwa kujibrand na kuteka soko la east Africa. So hasira za kufail kwao wazileta kwetu watz.washughulike na mziz wa tatizo and not matokeo ya tatizo.
Ila kubwa they are jealous of our massive land.Tumebarikiwa ardhi kubwa na yenye rutuba.of course tunamapungufu yetu kisiasa na kiuchumi but thank God hatuna tribalism inayowatafuna wakenya.
Wanasema Swahili yetu inasound unyonge,ni kweli tuko very humble,hatuko proud ,arrogant wala rude.kwetu binadamu wote ni ndugu na Africa ni moja.
Btw hongera kwa Paul kagame kuwa new chairman wa EAC,tunakuomba ulete umoja,upendo,mshikamano,amani na maridhiano among EAC member countries.Africa ni moja,God bless east Africa.
Sent using
Jamii Forums mobile app