How to watch free channels via startimes

How to watch free channels via startimes

I would advise trying all the codes and see wat happens..
 
channel zenyewe kimeo me nataka za fox.setanta na true move
 
kwanza unatakiwa kujua decoder yako ni ya aina gani kwa sababu code hizi ni kwa decoder za T2 ambazo Power On button yake iko mbele ya decoder. Tofauti na hapo haitafanya kazi
Mkuu mbona mnatuchanganya mara T2 decoder switch yake hiko mbele mara hiko nyuma! Which's which?
 
channel zenyewe kimeo me nataka za fox.setanta na true move
Kinacho nishangaza hawa jamaa wanachezea akili wateja, na kwa kuwa wameingia ubia na TBC (Serikali) basi wanafanya wapendalo mfano: Kwa nini channels kama BBC, AL-JAZEERA, CCTV, SHIBUKA, TUMAINI TV nk kwa nini wanalazimisha wateja kuzilipia wakati wao hawalipi chochote kwa makampuni tajwa hapo juu. Kwa nini wateja wengine wana vingamzi vya zamani T1 wakati sheria inasema wawahuzie wateja vingamzi aina ya T2, Serikali ya Uganda iliwakomalia Wachina wa Startimes mpaka wakaviondoa sokoni vingamzi vya aina ya T1 lakini hapa kwetu TCRA imekaa kimya kabisa; yagekuwa ni makampuni mengine ndio yanavunja sheria saa hizi yangekwisha fungiwa au kutozwa faina lakini si Startimes bwana! Mimi nafikiri mkombozi watu atakuwa ni AZAM TV hao ndio watajari walala hoi.
 
Mi napenda ch e jamani niwe naangalia mieleka.

Kaka ch e wanaonesha mieleka ya wiki mbili zilizopita...
Nunua receiver ya hd na router ya gprs kisha unapata channel zote za dstv..
Humo kuna channel ya super sport wanaonesha mieleka live.
Kwa mfano Jumapili ilikuwa ni Survivor Series PPV ambayo ch e wataonesha katikati ya december.
 
Ntaipataje hii receiver mkuu,na inauzwa bei gani??
 
Kaka ch e wanaonesha mieleka ya wiki mbili zilizopita...
Nunua receiver ya hd na router ya gprs kisha unapata channel zote za dstv..
Humo kuna channel ya super sport wanaonesha mieleka live.
Kwa mfano Jumapili ilikuwa ni Survivor Series PPV ambayo ch e wataonesha katikati ya december.

mieleka wanaonyesha chaneli gani?? Ss na muda lini na siku gani??
 
wakuu ni msaada mkubwa sana lakini wamezifunga tena baada ya kuapdate channel zao nashindwa kuzipata zina leta ujumbe wa no signal nifanyaje wataalam niweze kuona tena hasa zile za dini, ama kama kuna namna ya kutumia ile old version ya zamani iliyo kubali nikaona hizo free channels kupitia king'amuzi cha startimes.
 
Back
Top Bottom