How to watch free channels via startimes

How to watch free channels via startimes

mkuu hiyo kwa arusha naona hazifanyi kazi kabisa
 
Kaka ch e wanaonesha mieleka ya wiki mbili zilizopita...
Nunua receiver ya hd na router ya gprs kisha unapata channel zote za dstv..
Humo kuna channel ya super sport wanaonesha mieleka live.
Kwa mfano Jumapili ilikuwa ni Survivor Series PPV ambayo ch e wataonesha katikati ya december.

Mkuu ukiwa na hizo pia nitajitaji dish lake?, vipi gharama za awali inakuwaje? Malipo ya mwezi nayo yako vipi?. Thanka
 
Back
Top Bottom