How to watch free channels via startimes

Thats strange.., it shud take u str8 to channel search without PW..
A%20S%2039.gif

Jarbu kuweka sufuri ziwe nne,me imeleta sehem ya paswrd nikaeka zikakubali ila inasearch inarudisha kwene tv guide.
 
Sasa kama mmefanikiwa si mseme code zipi zinafanya kazi na sehemu gani?
 
kwanza unatakiwa kujua decoder yako ni ya aina gani kwa sababu code hizi ni kwa decoder za T2 ambazo Power On button yake iko mbele ya decoder. Tofauti na hapo haitafanya kazi
 
Hii itakubali tu endapo Unatumia Decorder yenye Firmware ya awali(Ya zamani). kama decorder yako imeji-UPDATE basi haitakubali. Decorder nyingi zinaji-Update bila wewe kufahamu. ila ukiingia kwenye software information utagundua kaka imeUpdate endapo ulikuwa unafahamu firmware iliyokuwepo mwanzoni.

mkuu haiwezekan kurudisha previous version ya hyo firmware?
 
kwanza unatakiwa kujua decoder yako ni ya aina gani kwa sababu code hizi ni kwa decoder za T2 ambazo Power On button yake iko mbele ya decoder. Tofauti na hapo haitafanya kazi
Niko na decoder zote mbili ya zamani na mpya.
Moja ni ya ofisini na ingine ya nyumbani ila code zote nimekwama.
Niko Moshi.
 
kwanza unatakiwa kujua decoder yako ni ya aina gani kwa sababu code hizi ni kwa decoder za T2 ambazo Power On button yake iko mbele ya decoder. Tofauti na hapo haitafanya kazi

I think T2 power button iko nyuma NA sio Mbele..
 
Hii itakubali tu endapo Unatumia Decorder yenye Firmware ya awali(Ya zamani). kama decorder yako imeji-UPDATE basi haitakubali. Decorder nyingi zinaji-Update bila wewe kufahamu. ila ukiingia kwenye software information utagundua kaka imeUpdate endapo ulikuwa unafahamu firmware iliyokuwepo mwanzoni.

I think unamaanisha channel zina ji update.., if so just re-enter the channels..
 
hapana sio channel ni FIRMWARE. wameamua ku_upgrade ili kuzuia vitu kama hivyo , ndio maana watu waliokuwa wanatumia hizo channel za kuchakachua, zimeshindikana baada ya software upgrade. decorder ikiji-Update inakuwa tofauti kwa vitu kadhaa kama vile wakati inaBoot inaonesha Logo kubwa ya Startimes, pia kila ukiselect channel ambayo hujailipia inakupa maelezo kwamba , Tafadhali liapia channel hii ipo katika kifurushi fulani. mimi mwenyewe nilitumia hizo channel zote free kwa zaidi ya mwaka. ila baada ya ku-update zimegoma zoooote
 
Anyway sijui.., as far as am concerned bado nakula muvi hapa nilipo..
 
mbona mimi niki-select MANUAL SEARCH inaanza moja kwa moja ku-search na hai-nipi option ya kuingiza hizo namba unazosema mkuu!
 
Menu, system setting, manual search, ingiza namba 650, bonyeza Ok. Alafu Subiri isearch.
 
Back
Top Bottom