Mi napenda ch e jamani niwe naangalia mieleka.
Umenikuna penda hiyo kitu sana!
Ntaipataje hii receiver mkuu,na inauzwa bei gani??
Mieleka huonesha ss5 na sky sport kuyegemeana na siku za mchezo hasa ijumaa na jumatatu....ppv huwa ni jumapili ila hurudiwa jumatatu asubuhimieleka wanaonyesha chaneli gani?? Ss na muda lini na siku gani??
Wameshazifunga.. jaribuni utaratibu mwingine..
Jamaa wamefungaaa....leteni maunjanja tenaaaaa
Tundu limefunguka..!! Sasa kwa code ya 682,714 unapata MBC BOLLYWOOD, IFILMS, DUBAI 1 (PROG10) na PEACE TVJamani lile tobo letu startimes ndio wamefanikiwa kuliziba kbs au kuna maujanja mengine,tuambizane jamani.
Tundu limefunguka..!! Sasa kwa code ya 682,714 unapata MBC BOLLYWOOD, IFILMS, DUBAI 1 (PROG10) na PEACE TV
Works for me.., nipo dar.., gues am just lucky..!!Hakuna kitu kama hicho..