How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
Naona nimeingia bila hodi. Jambo JF? nimefurahi sana, mimi ni mpya, naitwa Mkono wa Tembo. Asanteni sana, ni kwa sababuya usongo niliokuwa nao wa kutaka kuwasilisha mada
 
Hellow Tanzania poleni na harakati dhidi ya wavuna jasho,ni wakati muafaka kwa sasa kama watanzania tunaotambua hali halisi ya uhusiano uliopo kati ya kipato cha mtanzania wa kawaida na mizani ya mfumko wa bei unao endelea,tulizungumzie kwa mapana na marefu yake kwani tambua kuna watanzania ambao wanaguswa na wanazidi kathirika lakini hawawezi wakazungumza suala abalo ni zao la kimfumo,hellow naomba mada hii ijadiliwe ni suala hatari kwa mustakabali wa ustawi wa jamii na usalama wa Tanzania kama taifa.
 
Jamani mi tangu nimezaliwa nimekuwa nikiambiwa serikari haina dini. lakini niwashauli kuwa kila kitu kina mipaka yake sioni sababu ya kumzuia Mchungaji wa loliondo kutibu wagonjwa. kikubwa 2 ni kwamba maandiko yanasema IMANI YAKO NDO ITAYOKUPONYA. hivyo tusipinge. Kuzuia kitu hicho ni kukataa mkono wa Mungu kuendelea kuwa juu yetu watanzania. tusiangamie kwa kukosa maarifa.
 
hvi ni njia gani unaweza kutumia kumtambua msichana akupendaye kwa dhati? Niswali la kizushi ila mazww mi ninashindwa kupata majibu sahihi kila ninapo jiuliza!! ni hayo 2 mazee naombeni ushauri
 
achawishi.Miraa hukua kimaumble katika sehemu ambazo zina unyevunyevu vilimanikule Ethiopia, kenya na kidogo sehemu za nyanda za juu za kaskazinimashariki mwa tanzania na sehemu za kaskazini mwa Madagascar.majina mengi yanayojulikana kama 'mirungi' kwa Kiswahili, 'miraa' au'miurungi' kwa Wagikuyu, 'miraa' kwa Wamer
 
i would like to join you in this site for share everything and gain some and to give some. Jaman nami ni mwenzenu.
You all welcome
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom