First, Position ya Mkurugenzi TBC inateuliwa na Raisi.sio ya kuapply Tido Muhando kuwa mkurugenzi wa TBC ni Jk ambaye ni Muislam ndiye aliyemteuwa. Nilitaka kuondoa dhana ya udini kwanza, halafu post yoyote ile inayousu serikali kwa Tanzania huwa inaangalia Dini, ukanda, kabila na mambo mengine ya msingi ili kuweka sawa ili mnalolijadili. Kukosa huduma au kupata huduma poor kwa Tanzania ni jambo la kawaida, inapaswa tuwe tunajadili njia gani ya kutumia ili kupata huduma bora na c kujadili swala la udini. Kwa mm naweza kusema muhadhili yeye ndiye mwenye udini, maana mnafiki huwa anamjua mnafiki mwenzie. C busara kuchukua exam results za watoto na kwenda kujadiliana na mkeo.