How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
to be a member of JF it means you become a great thinker. you grow with creativity in daily life and achievement as well
 
Nipeni jibu wana Jamii wenzangu! Ni nini kinachowatembelea wana ndoa siku hizi hatuzithamini tena ndoa zetu? Kuna kituko kimetokea ofisini kwangu leo asubuhi! Mama 1 wa makamo (above 50 I think), amevalia nadhifu kweli kweli na inavyoonekana hana shida ya hela, katinga kwa ofisi mapema anamtafuta bosi wa ofisi, bahati bosi alikuwepo ofisini akatoka, inavyoonekana wanafahamiana na bosi alishampa majibu ya kuwa hataki uhusiano naye lakini mwanamama anafanya kulazimisha. Big boss wetu ni kijana tu, alipata harisa na kufoka bila kutambua wafanyakazi baadhi tulikuwepo kwa kushuhudia hiyo scene, NENO KUBWA NA LA SAUTI, " MAMANGU NIMESHAKWAMBIA SIKUTAKI" nina mke wangu na watoto wangu SIHITAJI SHUGA MUMY. Naomba utoke ofisini kwangu. After 2 hrs yule mama katuma bundle ya Roses. Sasa sijaelewa amechanganyikiwa huyu mama au hakuelewa neno SIKUTAKI? Nilimcheki mama ana pete ya ndoa kidoleni sijui ni ya kweli au ni geresha?
 
wanajamvi natumai wote mzima. mimi nabisha hodi kwenu naomba ukaribisho wenu nikikosea naomba mnielekeze. asanteni
 
Mimi nimejiunga muda nimeanzisha threads vzr na kuchangia kwa muda mrefu lkn sikuhizi nikituma post haiwekwi au naambiwa sitambuliki kama kuna gharama mniambie kuliko kuninyima kuchangia au kuanzisha uzi ? Kama kuchangia tupeni taratibu ili tu qualify kujumuika na wenzangu kuna matukio mengi yananikuta nashidwa kuanzisha uzi sababu haziko wazi ? Mbona zamani iliwezekana
 
Wadau eeh! wajameni mm kuna vitu zinanichanganya kidogo naombeni maelekezo.
Kwani nini tofauti ya pass ya kusafiria na visa? utofauti wa matumizi kama upo? valid durations and kwa ajili ya safari za nje ya nchi ninahitajika kuwa na docs. zipi? Thanks.
 
kama nimelielewa swali lako vizuri,kukujibu kwa ufupi, mtu kuweza kusafiri nje ya nchi unahitaji passport ambayo muda wa expiry au muda wa kuisha hio passport isipungue miezi sita(6) na inategemea nchi gani unataka kwenda kama ni east African countries hauhitaji visa lkn zilizo baki zoote unahita viza ambazo utapata ktk balozi za nchi hio unayotaka kwenda jijini dar, natumai nimejibu swali lako,
 
Wadau eeh! wajameni mm kuna vitu zinanichanganya kidogo naombeni maelekezo.
Kwani nini tofauti ya pass ya kusafiria na visa? utofauti wa matumizi kama upo? valid durations and kwa ajili ya safari za nje ya nchi ninahitajika kuwa na docs. zipi? Thanks.[/QUOTE
Pass ni hati ya kusafiria unayopewa na nchi yako kukuruhusu kusafiri nje ya nchi na vissa ni ruhusa unayo pewa na hiyo nchi unayo taka kwenda,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom