Ukiona ujumbe huo maanake ulikuwa unajaribu kufungua page ambayo hujaomba access kwenda. MFANO: Jukwaa la DINI, Premium Members Forum, Mambo ya Kikubwa Forum etc.JAMANI KUNA MSEJI NASHINDWA KABISA KUFUNGUA KILA NIKIJARIBU NAPATA MANENO YAFUATAYO HIVYO NAOMBA MSAADA;
BigMan, you do not have permission to access this page. This could be due to one of several reasons:
- Your user account may not have sufficient privileges to access this page. Are you trying to edit someone else's post, access administrative features or some other privileged system?
- If you are trying to post, the administrator may have disabled your account, or it may be awaiting activation.
thanksThanks a lot Mr Invisible
Pia kwa wale waliojisajili, ni vema SANA mkatembelea jukwaa hili kwani lina mengi ambayo si rahisi kuyapata katika mtandao!
Click: JF Store: Enjoy This!
Hiyo ndiyo faida ya kuwa registered!