How to use JamiiForums effectively

How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
Jamani jamani tu at least adabu zichukue mkondo wake! kama tunashabikia siasa halafu hatuijui ni vyema tukaacha kabisa! hilo jero mtu uliloingilia nalo cafe ni heri ungeenda kwa babu kwani pia kiherehere pia ni ugonjwa sugu. Anna still bado ni hot spear kwa mafisadi. huku jimboni kwake anafanya vitu vya kufa mtu. ni mtu wa watu. umewahi kuona wapi jimbo lisilokuwa na makao makuu kuwa juu kimaendeleo kuliko jimbo lenye makao makuu ya Wilaya? KARIBUNI SAME MASHARIKI MJIONEE KILIMO CHA TANGAWIZI,MPUNGA, MBAO MADINI NA Mzunguko mzuri wa fedha katika jimbo hili.
 
...naomba unisaidie Invisible, on how to start a new post for the new comer...i tried enough bt endup fail
 
Tafadhali naomba mungozo jinsi ya kushiriki mada katika hili jukwaa kwani bado mgeni.
 
Wana JF hamjambo,hili swala Ccm kujivua magamba litawasaidia au ndio wanazidi kujiharibia,pia mafisadi bado wapo wengi ndani ya chama wanajeujri ya kuwaondoa wote maana wengine ni visiki vya Mpingu.
 
Hhello..daah m ni new member..ata celewi jins ya kutumia hii,jf..how to chat wit friendz..tel m more plzz..
 
i need to kno more on how to use jamii forum, heeeeeeeeeelp.......!!!!
 
Habari ya asubuhi. Nijulishe kama ile namba ya mpesa inafanya kazi ili namimi walau nichangie kidogo.
 
Nafurahia maisha yangu si2 kwa kuwa nipo hai ila ni kwa sababu kila cku maisha yangu yanafungua mlango mpya wa kuexpress fikra na mitazamo yangu kwa wengine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom