How to use JamiiForums effectively

How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
haa wapi hivi hiyo timu itaweza kwli kushindna na chadema hapo unajidanganya Lilombe yataibuka mengine mengi tu yetu macho chadema iko tayari kupambana nayo
 
Naona kujiuzulu kwa safu hiyo ya ccm ni kiini macho tu.
 
Ahsante sana Invisible,
Kwa maelekezo yako nimekuwa Mwanajamii.
 
haloo kwa wapenzi wote wa jf nimefurahi sana kwa kupata nafasi ya kujiunga nanyi kuwa pamoja
 
hellow wapend wana jamii forum, napenda kuwashukuru kwa mawazo yenu na michango mingi ambayo inatusaidia katik jamii,,hasa sisi tunaojiingiza katika relation mungu awabariki sana nimejifunza mengi kupitia blog hii
 
Da jamani wajameni napata tabu ile baya jinsi ya kutumia hhhhhhi Jamii forum
 
Mambo vp members?mimi ni mwanachama mupya kabisa! So nahitaji ushirikiano wenu. My nick name is sir mole.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom