How to use JamiiForums effectively

How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
Asante kwa maelezo ya umuhimu na jinsi ya kutumia jamiiforums. Tunapata habari za kutosha na muhimu sana wenye jamii.
 
Nashukuru sana mh Robot kwa kunipa nafasi hii ya kunikaribisha hapa jamvini ili nijitambulishe kwa wanajamvi wengine ambao ndio wenyeji wangu.Nikiwa mgeni kwenye safu hii naomba mwongozo wenu ambao kwangu nina hakika utakuwa wenye weledi kwa sababu mara zote "ugeni si kitu chema"Nawaomba munipokee kwa moyo mkunjufu ili tushirikiane katika kulisukuma gurudumu hili la
kuelimisha kwani nielewavyo mimi Tanzania itajengwa na wote wenye moyo na italiwa na wale wenye
meno.Asanteni sana.
 
nawashukuru sana wadau kwakunikaribisha,tupo pamoja katika kusukuma gurudumu hili
 
hello jf crew, na mimi ni mgeni humu ila sijafungwa kamba mguuni. Pamoja sana kusukuma forum hii kuwa ya mfano.
 
Can some one tell me the vision of this country? l feel as a country we have lost the sense of purpose .
we don't have common vision as a nation
 
Hellow,

mimi ndungu yenu MTananzina nimejiunga leo , Natanguliza shukrani na nategemea kujifunza mengi toka kwenu nami nitashirikii nanyi kadri ya niliyonayo.

Minza
 
Hellow,

mimi ndungu yenu MTananzina nimejiunga leo , Natanguliza shukrani na nategemea kujifunza mengi toka kwenu nami nitashirikii nanyi kadri ya niliyonayo.

Minza
Karibu sana, nasi tunategemea kujifunza mengi
Kutoka kwako
 
kazi ipo, mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia...
 
ccm acheni maigizo , hivi mlisikia wapi kwamba nyoka akijivua gamba ataitwa mnyooo? wehu nyie, ukweli ni kwamba atakuwa nyoka yule yule, badala ya kuwafukuza chamani watu kama rostam, chenge na lowasa mnatuletea maigizo ya mchana kweupe.
 
Kweli CCM imejivua gamba nakua Nyoka mkali zaidi,Kama mtunza hazina wa CCM alikuwa waziri wa fedha akatolewa na wizi wa EPA na hasa Kagoda Agriculture sitaraji uchaguzi ujao kuacha kuibiwa zaidi ya maelezo.Nachofikiria wataiba wapi tena!? Kwa kuanzia Pension Fund zote,Ujenzi mkubwa unofanywa na serikali,Bank zilizo chini ya serikali,TRA kupitia misamaha na mingine mingi (Poleni Watanzania).
 
Msiwe wachoyo wa pongezi, CCM inaunda timu makini ya kupambana na Chadema. Chadema mjiandae kwa maumivu, siri zenu ametoa shitambala
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom