How to use JamiiForums effectively

How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
Hellw! Mimini mara yangu ya kwanza kujiunga na JF.
Lakini kuna hoja ambayo ninaileta mbele yenu inayohusiana na hii tiba ya loliondo. Mie binafsi sielewi uhalisia wa hii tiba kwa kuwa watu wengi wanahusisha tiba hii na uganga wa kienyeji na haitoki kwa Mungu.

Kama ilivyo kwa Mungu huwa anaponya bure bila masharti, siyo utoe 500 ndo upone au unywe kikombe kimoja. Kwa imani yangu mimi binafsi ninavyoelewa tiba hiyo ni ya kimizimu na ya kipepo kwa kuwa sasa kila mkoa wanatoa tiba hiyo wakidai kuoteshwa na Mungu. Ithink hiyo ni alama ya '666'
 
Hi!greater thinkers i'm a new member iwant to be a greater thinker too.i need your cooperation.
 
happy Easter, please my fellow Christians today is an important day for our faith, it an important celebration, my sincere request to us Christians let us celebrate with Jesus Christ in a responsible manner, that let us not diverge the theme of celebration like what this generation doing noways, let us not use this celebration ceremony as an opportunity to do evils like, too much drinking and disturbing, sexual intercourse/ngono zembe, stoles our fellows properties, but rather to celebrate in an harmonious way with full of God grace.
i wish you all the nice celebration ceremony
 
jaman nisaidien nataka kutumia Ashampoo Office 2008 & 2010 lakin sina product keys zake. alyenazo ani2mie. email yangu ni
"innocentjonas@ymail.com"
 
Mimi ni mwanachama mpya wa JF. Nimefurahishwa kwa jinsi watu wanavyoweza kuyatafakari mambo kwa kina na kuweza kuyachambua. Pamoja sana wana JF wote!
 
Mimi ni mwanachama mpya wa JF. Nimefurahishwa kwa jinsi watu wanavyoweza kuyatafakari mambo kwa kina na kuweza kuyachambua. Pamoja sana wana JF wote!

Karibu sana...
 
tuenzi kiswahili chetu
maelekezo yatolewe kwa lugha ya kiswahili.
hii ipo kwa ajili ya wa TZ au sio?/
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom