How to use JamiiForums effectively

How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
hallow jf family, mi ndo kwanza nimejiunga naomba ushirikiano wenu asante
 
Nangia kwenye kiyoo, nikaribisheni jamvini
Kwajina mwanakondoo, Yuleyule wa zamani
Bado sijawa kijogoo, Nipeni mda ulingoni
Naanza kuandaa dondoo,wanajamii subirini
 
Kama Watanzania lugha yetu ni kiswahili....inakua vp muswada wa katiba mpya uandikwe kwa lugha ya kigeni.."kiingereza"?
 
Aisee ni kweli hata mimi nahitaji msaada kwa maana bado ni mgeni humua.
 
Kama Watanzania lugha yetu ni kiswahili....inakua vp muswada wa katiba mpya uandikwe kwa lugha ya kigeni.."kiingereza"?

Lakini mimi naona hata kama ukiwekwa kichina mtanzania wa chini kabisa ananufaika na nini. Mimi ningependekeza tuachane na katiba na tuongelee kwa undani mifumuko ya bei zinazopanda kila siku, ikiwa tuna rasilimali nyingi na hatujui jinsi zinanyotumika. Katiba mimi naona zinawahusu hao walioshiba sio mtanzania anayenunua sukari Kg sh 2000 kwa sasa.
 
We acha panachanganya Ila kidogokidogo tutaelewa
 
Asante kwa maelezo ya umuhimu na jinsi ya kutumia jamiiforums. Tunapata habari za kutosha na muhimu sana wenye jamii.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom