Kweli CCM imejivua gamba nakua Nyoka mkali zaidi,Kama mtunza hazina wa CCM alikuwa waziri wa fedha akatolewa na wizi wa EPA na hasa Kagoda Agriculture sitaraji uchaguzi ujao kuacha kuibiwa zaidi ya maelezo.Nachofikiria wataiba wapi tena!? Kwa kuanzia Pension Fund zote,Ujenzi mkubwa unofanywa na serikali,Bank zilizo chini ya serikali,TRA kupitia misamaha na mingine mingi (Poleni Watanzania).