How to use JamiiForums effectively

How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
Quet long time my wishes was to join jamii forum web,but i was actually disappointed of languageand some of topics being discussed by membere,but truly today i would like to extend my heart gratitude to my friennds for their moral and endless support to convince me joining this site,i hope to be there to discuss widely constructive ideas!as far position of tanzania in economic and sociol welfare!
 
Wanajamii naomba mnipokee......coz, tumechoshwa na uonevu uzandiki wa baadhi ya media ila humu najua ni watu huru na wenye fikira pevu na an'gaavu
 
Hi all members of Jamiiforums, I am so glad to have this opportunity of joining you on this very interesting program.May God bless us
 
Mambo vp wana Jamii ndio kwanza naingia kwenye mchakato huu,tafadhali nipokeeni na mnipe muongozo mzuri ktk kuiweka sawa Tanzania yetu.Tanzania ni yetu na hakuna wa kuijenga isipokuwa sisi watanzania halisi wenye uchungu na azalendo na nchi hii.
 
Rais Kikwete aache kuwafanya Watanzania wote kuwa Wajinga, jana kwenye Hotuba yake amesema mjadala wa Katiba mpya ni haki ya raia wote wakati huohuo yeye na Chama chake (CCM) tayari wameshatengeneza aina ya muswada wa Constitutional Review na ni vipengele gani havipaswi kujadiliwa na wananchi na tayari wameshaweka ni hatua gani itachukuliwa dhidi ya watakaogusa vipengele hivyo vinavyolinda watawala.JE huko sio kutufanya sisi wajinga kwa kutuambia mjadala wa Constitutional Review ni haki yetu?.Vipengele hivyo ni;Urais,Mahakama,Bunge na Muungno.KIKWETE acha kuwahadaa watanzania hii nchi sio urithi wa CCM.
 
Kwanza nawasalimu wote! Binafc nawashukuru wote wanaotuwezesha kupitia Jf kufahamu mambo mengi. Nalikuwa nikiisikia kwa watu leo naitumia kwa vidole vyangu. Asanteni sana kuunganishwa Jf Amani kwenu salamu pia
 
Naomc kufahamu kuhusu chuo cha Mzumbe na UDSM kujitoa TcU ni kweli? Au mchakato ukoje juu ya swala hilo?
 
Mbona kupost thread kuna taharifa hazionekani wazi..?itolee ktk maelezo siyo kuleta vfungu visivyfunguka
 
Waungwana nawasalimu wote katika jina la......................... nikaribisheni :help:basi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom