Nangia kwenye kiyoo, nikaribisheni jamvini Kwajina mwanakondoo, Yuleyule wa zamani Bado sijawa kijogoo, Nipeni mda ulingoni Naanza kuandaa dondoo,wanajamii subirini
Lakini mimi naona hata kama ukiwekwa kichina mtanzania wa chini kabisa ananufaika na nini. Mimi ningependekeza tuachane na katiba na tuongelee kwa undani mifumuko ya bei zinazopanda kila siku, ikiwa tuna rasilimali nyingi na hatujui jinsi zinanyotumika. Katiba mimi naona zinawahusu hao walioshiba sio mtanzania anayenunua sukari Kg sh 2000 kwa sasa.