how to get the ring.

......khe wewe?!!! Lizzy,
I missed you ujue?
Umepoteaaaa!....

Husninyo, nasikiza taarabu hapa "kuvishwa pete si kuolewa....!"

Sijui wenzangu mwaichukuliaje pete na maana yake, ila ukweli wa mambo hii taasisi ya uchumba na ndoa hauthaminiwi tena kwa uthamani unaostahiki kuthaminiwa!
 
Last edited by a moderator:
.

mambo ya ndoa bana kila mtu na mtazamo wake na kila mtazamo ni sahihi kwake.
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, I cant imagine namwambia mwanaume hivi

nadhani nina ego ya uanauke........ I am needed
cc. BAK nimeiba wimbo wako kule mtaa wa saba
Na hiki ndicho anachosema Steve Harvey kwamba don't be so cheap na amesisitiza sana muda wa kumsoma mwanaume . Amesema kwa muda flani lazima utakua umejua kua hapa hakuna future na kinachowaumiza wadada kadhaa ni kuogopa kuchapa lapa wakidhani pengine mtu huyo atabadilika manake alisema unajikuta umekaa na mkaka 3 yrs lkn hajawahi hata siku moja kukutambulisha kwa watu wake muhimu. Binafsi sijawahi kuexprience hili lkn I had my own standard.
Wadada usiulize ring bali msome kwa makini mtu uliye nae utagundua tu hapo hakuna future au ipo. Kama nilivyosema sina experience ya kuwa kwenye mahusiano for funny halafu mnafanya kila kitu mmmmh. Pia si vizuri kutoa benefits mapema kama asemavyo Steve , yaani cookies ni mpaka uwe umejiridhisha na hii ni kwa mtazamo wake..
 
Kama moyo wangu na akili vyote vimefika kwa binti muhusika basi atapata jibu muafaka, vinginevyo jibu litakuwa lile ambalo hatalipenda na hivyo labda kuamua kuangalia ustaarabu mwingine. Ujue si kila mwanamke anastahili kuwa mke na pia si kila mwanaume anastahili kuwa mume. 🙂🙂

unaweza kuniambia utajibu nini mtu akikuuliza? ukizingatia jinsi ulivyojibu utajisikia
 
then? utaendelea naye ukiwa unasubiri jibu? au utachukua break mpaka upate jibu?
Sijui kwanini siku hizi kuolewa inakua shida Enzi zetu ulikua wala hauhangaiki kabisa tena kulikua na kuheshimiana sana mambo ya kujiachia kila kitu ilikua nadra sana . Walio wengi walikua wanasubiriana mpaka ndoa. Kipindi hiki mtu anaona ampe kila kitu mwanaume ili ajue kuwa anampenda na kwa bahati mbaya wala haisaidii
 
ha haaaa, nilitegemea jibu hili.....
asante kwa kutoni-disappoint...
 
yaani, sijui nini kimeingia.......
sitaki kusema yaliyonitokea hapa maana watu watajua mimi ni nani. but it was fun, interesting...... mpaka leo nikikumbuka nabaki kutabasamu tu. kuulizia "utanioa lini?" mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!
 
nasikitika sana sijapata bado muda wa kukisoma hicho kitabu, nina soft copy, ila nitataka sana kukisoma. niliangalia movie lakini nina uhakika movie ni just a dot kwa kitabu. Nikipata wiki tu ya kupumua nitakisoma.
I like being a lady
 
mambo ya ndoa bana kila mtu na mtazamo wake na kila mtazamo ni sahihi kwake.

.......hapo ndipo tunapokosea.
Ndoa ni mwongozo wa maisha kufuatana na imani, mila na tamaduni ya watu husika.

Hali iliyopo twajihalalishia kwa makusudi kwenda kinyume na miongozo iliyodumu karne na karne...
 
hapo ndo tunapoambiwa sisi ni wa mwaka 47 na sasa ni karne ya 21, tumepitwa na wakati.........
lakini je mdada unajisikiaje unaishi kwenye ndoa ambayo umeilazimisha kuolewa? thamani yako?.....
hapo kwenye kutafuta free maid kuna topic nyingine ya kuijadili.... kwa nini huyo aliyekuoa kakuoa wewe? ni mapenzi au aliona unafaa kuwa maid kwa hiyo akuweke ndani?
 
nasikitika sana sijapata bado muda wa kukisoma hicho kitabu, nina soft copy, ila nitataka sana kukisoma. niliangalia movie lakini nina uhakika movie ni just a dot kwa kitabu. Nikipata wiki tu ya kupumua nitakisoma.
I like being a lady
Twin kisome kinasaidia sana kwa wadada na hata kwa walio kwenye relationship tayari utakipenda kiko very interesting . Mimi nilikisoma last month nilikipenda mno na library niliyoenda kilikua kinaazimwa sana kiasi kwamba unapewa muda mfupi urudishe.
 
......kuna ile dhana kwamba umri umefika wa kijana kuoa/ kuolewa, atafute/atafutiwe mchumba.

Kwa mila na desturi nyingi hii ilisaidia sana kuanzisha uchumba mpaka kuoana.

Zama hizi umagharibi umetuingia sana,
Kuna kuchunguana sana na viboksi vingi vya ku tick kabla mtu hajaji commit...
Setting standards how to get the ring?
That is complicating things further IMO.
 
Twin kisome kinasaidia sana kwa wadada na hata kwa walio kwenye relationship tayari utakipenda kiko very interesting . Mimi nilikisoma last month nilikipenda mno na library niliyoenda kilikua kinaazimwa sana kiasi kwamba unapewa muda mfupi urudishe.
ninacho, ni swala la muda tu nitakisoma. niliangalia movie yake nikaipenda sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…