The gentleman who started the thread comes from Lindi/Mtwara(name-Nagurukuru) where this activity is VERY important/liked lol!Mmmmhhh... How is this contributing to make you a great thinker? kuna research yoyote unafanya au?
When am in a bus sitting next to a lady and we both fall asleep does that count as having slept with her ?
be specific, men and women?
Ingekuwa vipi humu jukwaani kama kila post uliyoipost inakughalimu Tshs500 kwenye account yako? Nadhani jukwaa lisingekuwa na haya matope, hata haya matope yangekuwepo basi yangekuwa yanachangia kidogo kwenye ghalama za uendeshaji. Najaribu kutafakari tuu.Personally, I have lost count!!!!
hii kitu haipo anataka ulio duu nao sawa mkuu..
Umesema vema mkuu! Mtu angefikiria kabla ya kupost coz angejua hela itapotea bure, kusingekuwepo na sredi za kijinga kabisa!...Ingekuwa vipi humu jukwaani kama kila post uliyoipost inakughalimu Tshs500 kwenye account yako? Nadhani jukwaa lisingekuwa na haya matope, hata haya matope yangekuwepo basi yangekuwa yanachangia kidogo kwenye ghalama za uendeshaji. Najaribu kutafakari tuu.
high school again...
watu ninao du nao kibao. kudu ni kufanya. kufanya ni kitendo, kitendo inaweza kuwa kula, kuoga, kuosha vyombo, kusafiri, kupiga story na mengine mengi. mleta mada hajaeleweka. na wewe unaongeza utata kwa muanzisha mada. kama mmeshindwa kufikiri, tuacheni tufikirie mambo mengine ya kujenga taifa zidi
Hahaha!.. King'asti umenkumbusha mbali na 'one touch'Ndo tatizo la walimu kutegea kufundisha na shule iko mtaani hakuna uwanja wa kucheza one touch