How many people have u slept with?

post kama hii iliwah kuwepo nafikir iliondolewa. Binafs naangalia kwanza upepo! Lol hii itakuwa udhalilishaj
 
When am in a bus sitting next to a lady and we both fall asleep does that count as having slept with her ?
 
Mmmmhhh... How is this contributing to make you a great thinker? kuna research yoyote unafanya au?
 
Personally, I have lost count!!!!
Ingekuwa vipi humu jukwaani kama kila post uliyoipost inakughalimu Tshs500 kwenye account yako? Nadhani jukwaa lisingekuwa na haya matope, hata haya matope yangekuwepo basi yangekuwa yanachangia kidogo kwenye ghalama za uendeshaji. Najaribu kutafakari tuu.
 
Most of the times I DO them while standing apparently in my office while others in my car assuming DOGGY style. So probably I've spent much time with them standing than on bed. You should perhaps change your question before it brings the meaning, so the new one may re-read '' how many women have you already fu**d so far?''
 
hii kitu haipo anataka ulio duu nao sawa mkuu..

watu ninao du nao kibao. kudu ni kufanya. kufanya ni kitendo, kitendo inaweza kuwa kula, kuoga, kuosha vyombo, kusafiri, kupiga story na mengine mengi. mleta mada hajaeleweka. na wewe unaongeza utata kwa muanzisha mada. kama mmeshindwa kufikiri, tuacheni tufikirie mambo mengine ya kujenga taifa zidi
 
Ingekuwa vipi humu jukwaani kama kila post uliyoipost inakughalimu Tshs500 kwenye account yako? Nadhani jukwaa lisingekuwa na haya matope, hata haya matope yangekuwepo basi yangekuwa yanachangia kidogo kwenye ghalama za uendeshaji. Najaribu kutafakari tuu.
Umesema vema mkuu! Mtu angefikiria kabla ya kupost coz angejua hela itapotea bure, kusingekuwepo na sredi za kijinga kabisa!...
 
watu ninao du nao kibao. kudu ni kufanya. kufanya ni kitendo, kitendo inaweza kuwa kula, kuoga, kuosha vyombo, kusafiri, kupiga story na mengine mengi. mleta mada hajaeleweka. na wewe unaongeza utata kwa muanzisha mada. kama mmeshindwa kufikiri, tuacheni tufikirie mambo mengine ya kujenga taifa zidi

nilichoandika ndicho anachofikiia muanzisha mada.. hata wewe ndivyo ulivyo elewa..
kazi njema mkuu
 
Kwa mfano nikisema mia moja? Ok, sikumbuki idadi halisi but sijawahi kuwa kwenye mahusiano mengi (usiniulize dhana ya wingi na uchache)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom