Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
ukizungumzia HOW LONG TO WAIT mpwaaz unakuwa mkali kweli kweliPear hapa umekuwa honest nimekupenda
ukizungumzia HOW LONG TO WAIT mpwaaz unakuwa mkali kweli kweliPear hapa umekuwa honest nimekupenda
Hahahahahah! Marahage ya Mbeya maji mara moja mbona ni sentensi iko wazi kabisa! Yaani ni kwamba, unapopika maharage ya Mbeya huwa yanaiva haraka sana, yaani huhitaji kuyapika muda mrefu.
Kwa hiyo mwanamke anayepatikana kirahisi ndiyo jamaa wanasema huyo maharage ya Mbeya maji mara moja!
hapa kuna tamaa na mapenzi
wat drives a person siku ya kwanza ni tamaa au mapenzi?? au both??
Maskini Jeuri hilo la mwisho nalo neno !! Lakini sasa neno Maharagwe ya Mbeya, maji mara moja huwa mnamaanisha nini kaka yangu? Mie naliogopa kama nini vile
haya sasa niulize hiyo sifa mnaitumia positively au negatively???
Haya ni maamuzi ya wale wapendanao kama mnachenguana kupita kiasi, basi hakuna sababu yoyote ya kusubiri muda mrefu....mnasubiri nini kwa muda mrefu na ilhali wote mnapendana?
Hapo kwenye makubaliano sawa but kanuni nope kwa sababu asilimia kubwa ni kuwa huwa inavunjwa sasa ndoi najiuliza Geoff kama ndo kanitokea nami nimemkubalia naanza kuwa na shaka huwenda nikikutana naye kesho ataomba game (nami nimemkubalia leo??) au hakuna muda maaliumu
Negatively of course!
hhehehehee!hii sredi IMEKUFIX MPWAAZ!umekuwa mdogo kwel kweliPear hapa umekuwa honest nimekupenda
pearl muangalie huyo kaizari,SIO MTU MZURI!kazi yake ni kuniharibia tuumenipenda hapo tu?
It depends na ntu na ntu!!hapa kuna tamaa na mapenzi
wat drives a person siku ya kwanza ni tamaa au mapenzi?? au both??
Hahahaha dah kazi kweli kweli ngoja leo nipitie Billionare tena kuna kaunda yule mweupe alinivutia sana.
Men fall in love through sex, women fall in sex throught love..... !! Mwanaume huwa anawaza ngono kwanza halafu mambo mengine yanafuata baadaye!
na ndicho kinachopelekea na sisi kutoa vile visababu- baby am not prepared leo, sweetie please naomba iwe next week n.k.Negatively of course!
It depends na ntu na ntu!!
kwimkuu tafadhali bana! Watu wamesha-invest heavily hapo!
anywayz, leo yupo off!
Mkuu tafadhali bana! Watu wamesha-invest heavily hapo!
Anywayz, leo yupo off!
na ndicho kinachopelekea na sisi kutoa vile visababu- baby am not prepared leo, sweetie please naomba iwe next week n.k.
bby do it now am honnie cnt wait for tommor plz
sasa nani anataka kupewa sifa hasi jamani???