How long to wait?... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How long to wait?...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Mar 4, 2010.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Mar 4, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,476
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Wapendwa
  Eti ni muda gani unafaa kupita kabla wapenzi wapya hawajaanza kukutana kimwili? Yaani ni couple mpya inatakiwa upite muda gani kabla kaka hajaomba game au dada hajakubali game?

  Nauliza tu!!
   
 2. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,468
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  I thought you were just thinking aloud, kumbe unauliza tu! :)
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,292
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  makubaliano tu!

  kanuni ya maadili inasema NO SEX B4 MARRIAGE!...well,nilitegemea ungehoji UHALISIA WA KANUNI HII YA MAADILI KWENYE KIZAZI HICHI CHA UTANDAWAZI,PICHA ZA NGONO,KUDUMISHA MILA,n.k n.k
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,973
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 145
  Mi tukisha kubaliana huwa nataka siku hiyo hiyo nianze kumega.
  Tatizo la mabinti huwa wanajivunga sana utasikia ooh dia leo sikujiandaa tufanye week end ijayo sasa sijui anajiandaa nn wkt kitu kipo pale pale na matayarisho tu huwa nachoka sana mm nimekupenda na wewe umekubali sasa kwa nn tuanze kuzungushana kwenye swala la kumega?
  Binafsi napenda nimege siku hiyo hiyo mambo mengine yaendelee.
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  Mar 4, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,476
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  MAsaki leo hujaamkia nyumbani wewe I doubt lol
  Haya bana..... nawaza kwa nguvu
   
 6. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,935
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Inategemea na ntu na ntu pamoja na mazingira.
   
 7. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,771
  Likes Received: 1,679
  Trophy Points: 280
  mh! Am I smelling something here oder was?
   
 8. bht

  bht JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  waza kwa sauti kwa nguvu utachoka mrembo!!!

  hamna kanuni hapo kwa kweli
   
 9. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,771
  Likes Received: 1,679
  Trophy Points: 280

  Senks, umefikiria outside the box! shemeji!
   
 10. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #10
  Mar 4, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,476
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hapo kwenye makubaliano sawa but kanuni nope kwa sababu asilimia kubwa ni kuwa huwa inavunjwa sasa ndoi najiuliza Geoff kama ndo kanitokea nami nimemkubalia naanza kuwa na shaka huwenda nikikutana naye kesho ataomba game (nami nimemkubalia leo??) au hakuna muda maaliumu
   
 11. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  inategemea mdomo wa kaka................. wengine hta 2 hours ni nyingi sana!!!!!!!!!! na kwa wengine hata 2 years ni muda mfupi sana!!!!!!!!!!!
   
 12. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,292
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  NAOMBA NIPINGANE NA WEWE KWENYE HILI!sheria ziko wazi,na hata vitabu vya dini vimeweka wazi......!NO SEX BEFORE MARRIAGE!wazee wetu waliishi hivyo.

  ni hichi kizazi cha nyoka kilichohalalisha dhambi
   
 13. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #13
  Mar 4, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,476
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  You with your evil mind. Nothing of sort darling, you know me now!!

  Just asking
   
 14. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #14
  Mar 4, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,468
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Ngoja nijipange sawa sawa nije na ushari muafaka!!
   
 15. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,935
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Umesahau sababu nyingine....... leo niko kwenye siku zangu..
   
 16. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #16
  Mar 4, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,476
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Aksante AK
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Mar 4, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,973
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 145
  Hahahaha mm natengeneza mazingira na babu yangu alisha niambia baada ya nusu saa n'tu huyo akikataa achana nae sio riziki huyo
   
 18. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #18
  Mar 4, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,292
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  geoff akikutokea SAWA!akikuomba game KATAA!SAY NOOOOOOOOO!no sex before marriage,PERIOD!

  ukikubali,sasa huo ni mjadala mwingine.....!yaani tunaanza kuijadili dhambi
   
 19. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #19
  Mar 4, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,476
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Yaani wewe ndo mana wanakukimbiaga lol asa utake siku hiyo hiyo nitakuwa na uhakika gani kuwa hutamega na kukimbia?
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Mar 4, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,973
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 145
  Hahahaha mm mkaksi huwa nataka nithibitishe kabisa kwa kupapasa wengine wajanja huwa wanavaa kabisa mnaita nn zile za kichina Always kumbe mwongo mm huwa nakagua kabisa mpaka nijiridhishe.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...