How long to wait?...

Hiyo sentensi kanichezea kisha kaniacha, kaniharibia maisha yangu huwa inanichekesha sana! :)
Yaani kama nakuona unavyomshangaa mdada anayelament kuwa umemchezea as if wakati mnado yeye jhakuwa akicheza rafu lol yale yale ya nilipe bikra yangu nawe akulipo blows zako ahahaha
 
"Sex can lead to nasty things like herpes, gonorrhea, and something called relationship.” by Ali G

Hii inahusika sana! - mnaweza kujiita GF/BF kama your below hazijakusika?
why not?? si tumekatazwa kumegana mpaka tufunge ndoa/tuhalalishwe vinginevyo tunatenda dhambi??
 
My dia inategemea hata cku ya kwanza tu kama mazingira yanaruhusu(wengi watadhani kicheche)but it doesnt make any difference hata kama mkikaa miaka 10 at the end of the dei mta do 2,pple hawataki kusema ukweli but weeeengi wamefanya in less than a month time of friendship,yani watu wanakutana sehem wanakubaliana in 30mins maongezi yao utasema walikutana mwaka jana,kumbe wizi mtupu.tanzania bila ukimwi inawezekana

Pearl hapa umekuwa honest nimekupenda
 
Yaani kama nakuona unavyomshangaa mdada anayelament kuwa umemchezea as if wakati mnado yeye jhakuwa akicheza rafu lol yale yale ya nilipe bikra yangu nawe akulipo blows zako ahahaha

hhaaaaaaa jamani lol MJ1 umeanza tena jioni yote hiii???? spare my few calories left jamani plz!!!
 
mimi wewe shemeji yangu katika siku ulizonifurahisha kwa mapoint ni leo...kila ulichosema ni point nakubaliana na wewe kabisa....uko right kupitiliza..big up.....nini kuzungushana bana

Dah unajua leo sijapiga vitu vyetu vile maombi ya Charity na bht yanakuja sasa.

naona hatujaelewana bado......anyway tuendelee tutyasettle huko mbele kwa mbele

Haya mama maombi naomba yachukue nafasi maana naanza kumwona Mungu taratibu.

Si umesikia Masaki na Fidel wakilalamika kuwa huwa wanayeyushwa so nina amini kuwa sababu za sijajiandaa, niko juani n.k ni kwa sababu either wanaona bado ni mapema sana kukupa au wanahisi utakimbia lolh

Mimi huwa mnaniudhi sana eti ukinipa mapema nitakukimbia hata ukininyima miaka 5 kama na lengo la kuingia mitini utakapo nipa nakukumbia basi hata hivyo baada ya miaka hiyo ukinipa tu namega nakula kona. Halafu eti ukinipa siku hiyo hiyo nitakuona wewe maharage ya mbeya maji mara moja hii nayo imekaa vibaya.
 
Yaani kama nakuona unavyomshangaa mdada anayelament kuwa umemchezea as if wakati mnado yeye jhakuwa akicheza rafu lol yale yale ya nilipe bikra yangu nawe akulipo blows zako ahahaha

icon10.gif
icon10.gif
Hebu nipeleke taratibu!
 
Bado sijapata mwelekeo!

a. ni woga tu ndio husababisha madem msikubali kumegwa siku ya kwanza?
b. ni tamaa iliyowapanda kichwani ndio husabisha kumegana bila kuajli athari zake mbeleni?
c. ukimnyima mwenzio siku ya kwanza na siku zinazofuata ukampa mfululizo ndio umeonyesha control kwenye hiyo relationship?
 
Hahahahah Masaki eti nikupeleke taratibu haya baba twende sasa, taratiiibu
 
Maskini Jeuri hilo la mwisho nalo neno !! Lakini sasa neno Maharagwe ya Mbeya, maji mara moja huwa mnamaanisha nini kaka yangu? Mie naliogopa kama nini vile
 
naona hiri ni riwiki ra utandawazi maana naona watu wanavyomwaga michere,mipunga na marice kuku washindwe wenyewe kujiria.mmmh!! safi sana.
 
Bado sijapata mwelekeo!

a. ni woga tu ndio husababisha madem msikubali kumegwa siku ya kwanza?
b. ni tamaa iliyowapanda kichwani ndio husabisha kumegana bila kuajli athari zake mbeleni?
c. ukimnyima mwenzio siku ya kwanza na siku zinazofuata ukampa mfululizo ndio umeonyesha control kwenye hiyo relationship?
hapa kuna tamaa na mapenzi
wat drives a person siku ya kwanza ni tamaa au mapenzi?? au both??
 
Maskini Jeuri hilo la mwisho nalo neno !! Lakini sasa neno Maharagwe ya Mbeya, maji mara moja huwa mnamaanisha nini kaka yangu? Mie naliogopa kama nini vile

Hahahahahah! Marahage ya Mbeya maji mara moja mbona ni sentensi iko wazi kabisa! Yaani ni kwamba, unapopika maharage ya Mbeya huwa yanaiva haraka sana, yaani huhitaji kuyapika muda mrefu.

Kwa hiyo mwanamke anayepatikana kirahisi ndiyo jamaa wanasema huyo maharage ya Mbeya maji mara moja!
 
Wapendwa
Eti ni muda gani unafaa kupita kabla wapenzi wapya hawajaanza kukutana kimwili? Yaani ni couple mpya inatakiwa upite muda gani kabla kaka hajaomba game au dada hajakubali game?

Nauliza tu!!

Haya ni maamuzi ya wale wapendanao kama mnachenguana kupita kiasi, basi hakuna sababu yoyote ya kusubiri muda mrefu....mnasubiri nini kwa muda mrefu na ilhali wote mnapendana?
 
Back
Top Bottom