How long to wait?...

Hahahahahah! Marahage ya Mbeya maji mara moja mbona ni sentensi iko wazi kabisa! Yaani ni kwamba, unapopika maharage ya Mbeya huwa yanaiva haraka sana, yaani huhitaji kuyapika muda mrefu.

Kwa hiyo mwanamke anayepatikana kirahisi ndiyo jamaa wanasema huyo maharage ya Mbeya maji mara moja!

haya sasa niulize hiyo sifa mnaitumia positively au negatively???
 
hapa kuna tamaa na mapenzi
wat drives a person siku ya kwanza ni tamaa au mapenzi?? au both??

Men fall in love through sex, women fall in sex throught love..... !! Mwanaume huwa anawaza ngono kwanza halafu mambo mengine yanafuata baadaye!
 
Maskini Jeuri hilo la mwisho nalo neno !! Lakini sasa neno Maharagwe ya Mbeya, maji mara moja huwa mnamaanisha nini kaka yangu? Mie naliogopa kama nini vile

Hehehehe hujui maana ya maharage ya Mbeya? yanaiva upesi unaweka maji mara moja tu.
 
Haya ni maamuzi ya wale wapendanao kama mnachenguana kupita kiasi, basi hakuna sababu yoyote ya kusubiri muda mrefu....mnasubiri nini kwa muda mrefu na ilhali wote mnapendana?

BAK sasa muda mrefu ni upi huo au ndo umeacha tutafiri wenyewe hapo.....hrs, days, months or yrs??
 
Hapo kwenye makubaliano sawa but kanuni nope kwa sababu asilimia kubwa ni kuwa huwa inavunjwa sasa ndoi najiuliza Geoff kama ndo kanitokea nami nimemkubalia naanza kuwa na shaka huwenda nikikutana naye kesho ataomba game (nami nimemkubalia leo??) au hakuna muda maaliumu


Mbona unazunguka sana ww sema kwanza kwako inakuwaje?
Mi binafsi siku hiyohiyo is the best akianza danadana inakula kwake:D
 
Masaki sasa si unaona why nikuvulie wakati najua bado hujafall? Kilichopo kichwani mwako muda mfupi baada ya kuanza mahusiano ni namna utakavyongonoka na mimi na si kuwa umenipenda. So je ni sahihi kusema men fall in love after being sexually satisfied?
 
Men fall in love through sex, women fall in sex throught love..... !! Mwanaume huwa anawaza ngono kwanza halafu mambo mengine yanafuata baadaye!

hivi kumbe ni kweli huh??!!! ( ile movie yenye hayo maudhui inaitwaje tena Masaki nataka nirudie kuitazama)
 
sasa nani anataka kupewa sifa hasi jamani???

Hakuna anayependa kupewa sifa hasi. Na kwa taarifa yako si kila mwanamke anayekubali kufanya mapenzi na mwanaume siku ya kwanza anakuwa ''branded'' maharage ya mbeya!

Mwanamke kubandikwa ''brand'' ya maharage ya mbeya ni kutokana na tabia yake ya kumkubali kila mwanaume kirahisi!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom