How long to wait?...

Mbona unazunguka sana ww sema kwanza kwako inakuwaje?
Mi binafsi siku hiyohiyo is the best akianza danadana inakula kwake:D
makofia nimezunguka wapi tena jamani? Mie yangu ilihusisha long distance na tulipomaliza kupenga kila kitu wakati anakuja kuoa ile wiki ya ndoa ndo ilinichukua siku 4 tu kumuangusha tembo wangu kwa ubua!! Umeridhika sasa?
 
Hakuna anayependa kupewa sifa hasi. Na kwa taarifa yako si kila mwanamke anayekubali kufanya mapenzi na mwanaume siku ya kwanza anakuwa ''branded'' maharage ya mbeya!

Mwanamke kubandikwa ''brand'' ya maharage ya mbeya ni kutokana na tabia yake ya kumkubali kila mwanaume kirahisi!

in a way it makes sense
in another it doesnt
sihitaji maelezo though....thanks!!!!

(hahaaa kwa taarifa yako =FYI) dah improvement naziona (sor ofutopik MJ1)
 
na ndicho kinachopelekea na sisi kutoa vile visababu- baby am not prepared leo, sweetie please naomba iwe next week n.k.

Vijisababu is just fine. Mimi nilisema tu kwamba sipendi kisingizio cha ''sijajiandaa''. Atoe kisingizio kingine.

Na wanaume mara nyingi huwa tunajaribisha tu kuona kama unaweza kupewa siku hiyo hiyo ila huwa si lazima!
 
Vijisababu is just fine. Mimi nilisema tu kwamba sipendi kisingizio cha ''sijajiandaa''. Atoe kisingizio kingine.

Na wanaume mara nyingi huwa tunajaribisha tu kuona kama unaweza kupewa siku hiyo hiyo ila huwa si lazima!

imekaa 'childish' kind of!!!!
masaki...................am reserving my comments haaaaaaa!!!
 
in a way it makes sense
in another it doesnt
sihitaji maelezo though....thanks!!!!

(hahaaa kwa taarifa yako =FYI) dah improvement naziona (sor ofutopik MJ1)

Ni matunda ya kazi yako nzuri ya kunifundisha masomo ya ziada (twisheni) ya Kiswahili fasaha!
 
Sredi limenivunja mbavu hili well tuendelee

Binafsi nilitengeneza urafiki wa kawaida ; then nikatoa out na siku hiyo hiyo nikwambia kuwa leo ningependa anipe! Akakubali wowwwwwwwwwwwwwwww najilia vyangu mpaka leo sasa sijui ukwanza mnaanzia wapi kuhesabu! first meeting ama first outing?
 
Back
Top Bottom