How long to wait?...

B ameniPM kuwa wewe alikufaidi baada ya dk 15 tu kazi ikawa imekwisha hehehe safi sana sio mchoyo.

hahaaaaaa jamani hayo ya ndani hivo hawezi kukuambia wewe mwewe
yaani wewe kwa uchonganishi sikuwezi Fidel!!!

BTW: jana usiku ulinidanganya weweeee
 
hahaaaaaa jamani hayo ya ndani hivo hawezi kukuambia wewe mwewe
yaani wewe kwa uchonganishi sikuwezi Fidel!!!

BTW: jana usiku ulinidanganya weweeee

Hahahahaha huamini sasa ndo hivyo?
Akipaona B hapa atanielewa tofauti hata Masaki na Kimey watanielewa tofauti jana nililewa sana.
 
Napenda tu pale unapo - ''waive'' baadhi ya vipengele vya sheria kwa manufaa yangu! :)
despite the fact that sheria ni msumeno...................kazi kweli kweli (u r the exception basi hapa (the done deal))
 
Hahahahaha huamini sasa ndo hivyo?
Akipaona B hapa atanielewa tofauti hata Masaki na Kimey watanielewa tofauti jana nililewa sana.

Nilikuona kaunta mkuu wakati tunashangilia goli la kwanza la Egypt !!!
icon10.gif
 
Hahahahaha huamini sasa ndo hivyo?
Akipaona B hapa atanielewa tofauti hata Masaki na Kimey watanielewa tofauti jana nililewa sana.

unajishuku tu wewe mwenyewe....wenzio twaaminiana saaana na B sasa wewe ndo unataka ueleweke unavotaka wewe!!!

BTW: punguza hiyo kitu kwaresma hii tuktuk itakupindua
 
unajishuku tu wewe mwenyewe....wenzio twaaminiana saaana na B sasa wewe ndo unataka ueleweke unavotaka wewe!!!

BTW: punguza hiyo kitu kwaresma hii tuktuk itakupindua

Yeah nimepunguza kudumisha mila lakini kinywaji ni pale pale maana sio dhambi angalia amri 10 za Mungu kama kuna sehemu Mungu alimpa Musa amri watu wasinywe hii NO.
Tuktuk bana linapelekwa kama kawa jana nakumbuka Aisha alinyanyua mpaka juu ya tuktuk.
 
Sredi limenivunja mbavu hili well tuendelee

Binafsi nilitengeneza urafiki wa kawaida ; then nikatoa out na siku hiyo hiyo nikwambia kuwa leo ningependa anipe! Akakubali wowwwwwwwwwwwwwwww najilia vyangu mpaka leo sasa sijui ukwanza mnaanzia wapi kuhesabu! first meeting ama first outing?

Kama ni darasani Masikini Jeuri umekuwa wa kwanza kwenye mtihani- Hii ndo theme ya swali zima. hesabu hapa ni kuanzia first meeting ulipotangaza sera zako za mapenzi kwa mtoto mwenye bahati- akakukubalia mpaka ile outing yenu ni muda gani ulipita? Siku, wiki au mwezi?
 
Granny Shkang'

Siku hizi ninajitahidi eh kwa maadabu Babu, si eti eh?
Mahabaaa kajukuu. Jambo? Afu hujanambia kale kamjamaa kazaa chema kenzako ulikabania muda gani kabla hujakapa tunda?

kumekucha
Umeamka na nani? Nawewe huwa unatoa muda gani kumpa mashalaa anayekudeti (siyo pamanenti rileshenship, nadhani umenielewa kama unajua kusoma katikati ya mistari)
 
Back
Top Bottom