Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,533
Unauliza wangapi kama NN? Hakunagaaaaa!
Halafu pamoja na kua hata mimi sikuingilia somo la kemia kwa sana,
Najua hiyo contact kati ya substances sio lazima solid or liquid particles
Mfano mdogo ni feromones ambazo zinatumika katika kutengeneza marashi
Halafu nani alikwambia nililose control, au nilifikia kilele cha exitment?
Mtu nilipanga strategy hadi nikaalikwa juice MaryBrown utasema I was not in control?
Kaka umependa story yangu, na unataka kuikoleza ifanane na unavyo taka wewe!
Mzima Freema?
Duh yaani Mwali umekubali hizi cheche za kudhalilishwa ulizotemewa! umeibiwa password au ndo umelewa mapenzi?
Usikonde Mwali labda jamaa alikuwa anakulia timing kawaka kuona umempa mgongo, na pengine huja notice hata existence yake.
Kula ile kitu roho inapenda bwaana!
Dada umetisha na maushauri!
Maana unapuliza moto......
Ukisha kuwaka, unaumiminia rasha rasha za maji
.....umenirudisha kwenye somo la historia, nilipokumbana na Abdallah bin Salul:laugh:
Unajua Mwali ninaemjua sio mtu wa "hewala bwana". Nikashangaa anaambiwa ooh kusambaza maradhi, ooh naomba Mungu nisizae mtoto kama wewe na blabla.
Mwanamke ana haki ya kuwa na mtu anayempenda sio kila siku kusubiri kupendwa. Mpango mzima ni kasema nae bila kuona soo.
Vinywaji gani? Kamati ya nini? Kama hujui Nyani Ngabu tulishamfanyia kamati ya vinywaji zamani sana, i mean ana mke tayari na dini yake haimruhusu kuoa mke wa pili.....najitolea kuwa kwenye kamati ya vinywaji!
Acha kutapeli mabinti wa watu wewe, i hate you, hiyo BB uliyomwahidi Smile iko wapi kwanza?
Vinywaji gani? Kamati ya nini? Kama hujui Nyani Ngabu tulishamfanyia kamati ya vinywaji zamani sana, i mean ana mke tayari na dini yake haimruhusu kuoa mke wa pili.....
Mwali utaishia kula kwa macho tu dia , kaa mbali na Nyani Ngabu manake ukizubaa utajarushiwa vitu vyenye ncha kali tukukose!
Hapana, dini hairuhusu!Shemeji mbona mkali! kidumu je hakiruhusiwi?
Afu wewe !Hate the game, not the playa.
Nyani haoni kundule.Hate the game, not the playa.
Afu wewe !
Nyani haoni kundule.
Mwali hapindui kwa Bu'yaka inaonyesha
Na usikute hii thread ni ya kumrusha roho
:dance:
Waeleze waeleze.....
Bora FA alipuliza moto afu akamwaga maji ya rasharasha
Hapo red naona unanyunyuzia rasha rasha ya petrol kwenye moto
Na likilipuka lazima liwapate waliokuwemo na wasiokuwemo
😛ray2: