Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,379
- 45,028
Huu ni ujinga wa hali ya juu kulialia kuwa wazungu wa ulaya wamechangia uduni wetu wakati leo ni miaka zaidi ya hamsini tangu tuwe huru.
Idadi ya miaka aliyokaa mkoloni wa kiingereza hapa tanzania haizidi miaka 35 na mjerumani ni miaka kama 30. kwa maana hiyo miaka tuliyokuwa huru ni mingi kuliko miaka tuliyotawaliwa na wote wajerumani na waingereza.
Mbona tumeshindwa kujiletea hayo maendeleo? Itapita miaka elfu halafu bado watu kama nyie mtakuja na hizi ngonjera zenu hapa kama kasuku