kama nyie mlivyo kuwa mkishabikia ubakwaji wa demokrasia zanzibar na utungwaji,upitishwaji na usainiwaji na utelekezwaji wa sheria ya mtandao?Mkuu, kuna watu wanashabikia ujinga wakidhani kufanya hivyo watapata faida yoyote!
Mkuu hicho kitabu hujakielewa vizuri nenda ukisome upyaView attachment 333820
Ukisoma kitabu hiki utajua namna Ulaya ilivyoididimiza Afrika!
Na bahati mbaya mpango huo bado haujaisha!
Tunaoshabikia misaada hatujui tutendalo!
View attachment 333824
tena mie naomba HIPC,nawaomba waje wahakikishe lile la 47 tilliöni,serikali ilazimishwe kulilipa kuanzia mwezi wa saba,kuanzia bajeti ya 2016/2017 twone mtapumulia wapi!ndio furaha yetu!Kwa hiyo ndio furaha yako?
[ATTll]333820[/ATTACH]
Ukisoma kitabu hiki utajua namna Ulaya ilivyoididimiza Afrika!
Na bahati mbaya mpango huo bado haujaisha!
Tunaoshabikia misaada hatujui tutendalo!
View attachment 333824
Ndiyo, kama ilivyokuwa kwako baada ya kubaka maamuzi ya wa ZANZIBAR...Kwa hiyo ndio furaha yako?
Kwa kuwa mabwana zenu wamesema ndio na nyie mmefuata upepo?
sio mabwana zenu?mlikula hongo yao ya m.c.c1!hao mmesahau!?Kwa kuwa mabwana zenu wamesema ndio na nyie mmefuata upepo?
mkuu,be serious:huyu jamaa ni mode?dah,Hivi ni kigezo gani kilikufanya wewe uwe mod? Mbona uko too low kiasi hiki?
wameendelea kwa misaada??Danganyikeni ninyi sio mimi. Tumekuwa wavivu na wezi halafu tunazingizia watu wengine. Vitabu kama hivyo vinamfanya mwafrika azidi kudumaa kimawazo badala ya kusonga mbele. Kuna mataifa kama waisrael walipata shuruba isiyosemekana na leo wana maendeleo ije kuwa sisi?
Miaka sitini baada ya uhuru bado tunalalamika 'how europe underdeveloped africa'? Shame on us na Donald Trump anayo haki kabisa ya kusema kuwa tunahitaji kutawaliwa tena!!!View attachment 333820
Ukisoma kitabu hiki utajua namna Ulaya ilivyoididimiza Afrika!
Na bahati mbaya mpango huo bado haujaisha!
Tunaoshabikia misaada hatujui tutendalo!
View attachment 333824
Unajifanya huujui sio? Hahahahah kutoka kuwa mod mpaka kidagaa wa Lumumba!!!U moderator ndio mdudu gani huyo?
Hata kukisoma hajakisoma!! Kwa akili hizo anaweza elewa kitabu cha kizungu? Kachukua cover kaleta hapa!! Angesoma walau angeelezea kwa kukijengea hoja!! Huyo mtoto mtupu kabisa kichwani.Mkuu hicho kitabu hujakielewa vizuri nenda ukisome upya
Yaani utadhani kazaliwa kwao na akina MCC. Kumbe mswahili kuntu.Kwa hiyo ndio furaha yako?
Aliwahi kuwa moderator akatemwa.... Akili zake mbovu sana!mkuu,be serious:huyu jamaa ni mode?dah,
Goddamnit!