"How Europe Underdeveloped Africa," By Walter Rodney!

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,192
1,972
download.jpg

Ukisoma kitabu hiki utajua namna Ulaya ilivyoididimiza Afrika!
Na bahati mbaya mpango huo bado haujaisha!
Tunaoshabikia misaada hatujui tutendalo!

ff.jpg
 
Ukisoma kitabu hiki utajua namna Ulaya ilivyoididimiza Afrika!
Na bahati mbaya mpango huo bado haujaisha!
Tunaoshabikia misaada hatujui tutendalo!
Danganyikeni ninyi sio mimi. Tumekuwa wavivu na wezi halafu tunazingizia watu wengine. Vitabu kama hivyo vinamfanya mwafrika azidi kudumaa kimawazo badala ya kusonga mbele. Kuna mataifa kama waisrael walipata shuruba isiyosemekana na leo wana maendeleo ije kuwa sisi?
 
Ukisoma kitabu hiki utajua namna Ulaya ilivyoididimiza Afrika!
Na bahati mbaya mpango huo bado haujaisha!
Tunaoshabikia misaada hatujui tutendalo!
Acha UCCM, hayo ni historia ya zamaini and has not been put to challenge. Aliandika na huwezi jua wazungu, Europe for that matter wangelimjibu vipi. Angalia leo acha history za Rodney, Buchanan umesoma wapi
 
Ukisoma kitabu hiki utajua namna Ulaya ilivyoididimiza Afrika!
Na bahati mbaya mpango huo bado haujaisha!
Tunaoshabikia misaada hatujui tutendalo!
Halafu unajua anayeng'ang'ania madaraka bila utendaji mzuri na wananchi wakimkataa kwenye kura halali anatumia jeshi kupora madaraka ndio mng'ang'anizi mkubwa wa misaada?
 
...wacha kutapatapa,hii misaada mlikuwa mnaitolea macho miaka yote,leo ndio umemkumbuka Walter Rodney baada ya misaada kuzuiwa,pathetic!
Ndio tumeshaona hakuna dili yoyote, mara tunaambiwa wanaume tulalane wenyewe kwa wenyewe, mara tunaambiwa tubadili Sheria iliyotungwa kihalali na Bunge!
Kama ni hivyo basi na sisi tuwaambie wafute Sheria ya Mashoga tusije wanyima fursa ya uwekezaji!
 
Na Bado Mtafukua Makaburi Kubabake...Mtamfufua Nyerere,Sokoine,Kambona na Maiti Wote Ambao Mnahisi Watawapunguzia Kasi Ya Mashambuliz...Ila Ukweli Unabaki Pale Pale,Mtaisoma Namba Kudadadeki!
Mtanzania anayetoa kauli kama hizi hafai kabisa kuitwa Mtanzania au Mwafrika for that matter!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom