"How Europe Underdeveloped Africa," By Walter Rodney!

Ndio tumeshaona hakuna dili yoyote, mara tunaambiwa wanaume tulalane wenyewe kwa wenyewe, mara tunaambiwa tubadili Sheria iliyotungwa kihalali na Bunge!
Kama ni hivyo basi na sisi tuwaambie wafute Sheria ya Mashoga tusije wanyima fursa ya uwekezaji!
...wacha kutapatapa,wakati mnaambiwa hayo yote mlikuwa mabubu,hamkuweza kuwajibu straight,hamtaki,leo mikataba imezuiwa ndio unaanza kukumbuka terms za kwenye mikataba,idiot!
 
View attachment 333820

Ukisoma kitabu hiki utajua namna Ulaya ilivyoididimiza Afrika!
Na bahati mbaya mpango huo bado haujaisha!
Tunaoshabikia misaada hatujui tutendalo!

View attachment 333824

Mkuu, haujatuambia ni hoja gani Walter alizozi-allocate kwenye kitabu chake hicho tajwa hapo juu, imekuwa kama wewe mwenyewe haujakipitia, ila tu ni kwa sababu title yake ni sawa na wazo lako, basi ukaona kina-fit.

Katika nadharia yake ya Ki-bourgeoisie (Vicious Circle of Poverty), Prof. Ragnar Nurkse anasema, "a society is poor because is poor." anaendelea kusema, "...it is poor because it lacks savings and consumption..."

Hapa tumeona maneno mawili ambayo Prof. anayatumia katika nadharia yake, yaani "savings" na consumption. Katika tafsiri yake ya haya maneno, Prof. Nurkse katika savings anamaanisha investment, tena uwekezaji wa ndani. Yaani kama Tanzania basi iwasogeze karibu na kuwatia moyo ma-tycoon kama kina Mengi, Bakhresa na wengine kwa nia njema na si kwa kuwavuta kwa malengo yao binafsi.

Neno la pili ni consumption, ambapo Prof. anamaanisha Markets, na yenyewe iwe ya ndani. Sasa kutengeneza soko la ndani ni kuruhusu watu wazaliane na ikiwezekana na kuwa-award wanaozaa kama kumbikumbi.

Kwa kifupi Prof. yeye, katika mtazamo wa kusema kwamba ukoloni, ambao ndio hoja kubwa ya Walter Rodney, ndiyo sababu kubwa ya waafrika kuwa maskini. Ukoloni umeshaisha siku nyingi, sasa swali la kujiuliza kwa nini bado tu maskini?

Nadharia ya Prof. Nurkse, binafsi huwa nakubaliana nayo japo wengi huwa wanaipinga, lakini kiuhalisi ni hoja yenye tija sana. Sasa hebu tuangalie uhalisia wa nadharia yake kwa mazingira ya Afrika, hasa Tanzania.

SAVINGS: Nchi kama nchi lazima iimarishe pato la ndani ili kuweza kujifanyia mambo yake bila interaction yoyote. Mfano JPM alipoingia Ikulu, nilifurahi sana eti kusema miezi miwili tu serikali yake imekusanya trillion 4, binafsi nilitarajia sasa nchi hii inaenda kuwa super tajiri ndani ya awamu moja tu ya JPM. Nurkse yeye ni perismist na misaada ya nje, maana inaifanya serikali kuingiliwa kisiasa.

MARKET: sasa watu kama hawazaliani, soko tunalipataje? Wakati waafrika tunashangilia uzazi wa mpango na tukiona gari limeandikwa VACECTOMY tunaruhusu wake zetu walikimbilie

Waafrika hatufikirii!!!!!!!!!
 
Hata kukisoma hajakisoma!! Kwa akili hizo anaweza elewa kitabu cha kizungu? Kachukua cover kaleta hapa!! Angesoma walau angeelezea kwa kukijengea hoja!! Huyo mtoto mtupu kabisa kichwani.
ange kuwa angeelezea hata ujihi wa mwandishi,alizaliwa wapi,alisomea wapi na nini kilicho mfanya aandike kitabu hiki,labda tumuulize Walter Rodney ni raia wa wapi?hivi anajua mwandishi alisha wahi fundisha #udsm?anajua kilicho mpata baada ya kuandika kitabu hiki?
 
Huyo mtoto ni pangu pakavu tia mchuzi... Form four failure hivyo vitu kwake ni muhari!!
 
Nilidhani nchi ina bahati kuwa na mtu km Jecha, lkn sasa nimeipata picha halisi
 
Wewe dnio umenena sasa.

Lazima watu watafutane humu
Kwa hali hii ya sasa ambayo watoto wetu wanakaa chini.... Mitihani inaandikwa ubaoni watoto wanakili.... Hospitali ziko hovyo.... Huduma za afya mbovu.... Miundombinu hovyo na umaskini uliokithiri wa watu jeee itakuwaje huko mbele tukiondolewa hiyo misaada?
 
Huyo mtoto ni pangu pakavu tia mchuzi... Form four failure hivyo vitu kwake ni muhari!!
mwache a google reviews za kitabu,ili apata ujasiri wa kuja kujitoa ufahamu!na tupate wasaa wa kumtwanga maswali mtego
 
wameendelea kwa misaada??
Na hapo ndio trick ilipo. Mambo yako hivi: Kukataa msaada sio kukataa kwa maneno kama nyie mnavyofanya. Kukataa misaada ni kutumia juhudi zako zote, maarifa yako yote na uwezo wako wote kufanya kazi ili upate kipato cha kukuwezesha kuendesha maisha yako. Nje ya hapo ni kukumbatia misaada. Sasa huyu jamaa kaja na propaganda zake za kitabu kinachoelezea jinsi wazungu walivyotufanya tegemezi. Mimi nikamwambia kuna watu walipitia shuruba kuliko zetu lakini wakaendelea bila misaada.
 
mwache a google reviews za kitabu,ili apata ujasiri wa kuja kujitoa ufahamu!na tupate wasaa wa kumtwanga maswali mtego
Nchi za wenzetu ambao miaka kadhaa tu baada ya Uhuru zilipaa hawa wanazungumzia Africa ya Leo ambayo miaka yote kwa unyani wao wameitumia kugombania madaraka!!!

Huyo failure analeta cover ya kitabu bila kuweka hoja ili watu wachambue....

Mfano huko znz miaka hii mitano itatumika kuzozana tu hakuna la maana litalofanyika!!!
 
Mkuu, haujatuambia ni hoja gani Walter alizozi-allocate kwenye kitabu chake hicho tajwa hapo juu, imekuwa kama wewe mwenyewe haujakipitia, ila tu ni kwa sababu title yake ni sawa na wazo lako, basi ukaona kina-fit.

Katika nadharia yake ya Ki-bourgeoisie (Vicious Circle of Poverty), Prof. Ragnar Nurkse anasema, "a society is poor because is poor." anaendelea kusema, "...it is poor because it lacks savings and consumption..."

Hapa tumeona maneno mawili ambayo Prof. anayatumia katika nadharia yake, yaani "savings" na consumption. Katika tafsiri yake ya haya maneno, Prof. Nurkse katika savings anamaanisha investment, tena uwekezaji wa ndani. Yaani kama Tanzania basi iwasogeze karibu na kuwatia moyo ma-tycoon kama kina Mengi, Bakhresa na wengine kwa nia njema na si kwa kuwavuta kwa malengo yao binafsi.

Neno la pili ni consumption, ambapo Prof. anamaanisha Markets, na yenyewe iwe ya ndani. Sasa kutengeneza soko la ndani ni kuruhusu watu wazaliane na ikiwezekana na kuwa-award wanaozaa kama kumbikumbi.

Kwa kifupi Prof. yeye, katika mtazamo wa kusema kwamba ukoloni, ambao ndio hoja kubwa ya Walter Rodney, ndiyo sababu kubwa ya waafrika kuwa maskini. Ukoloni umeshaisha siku nyingi, sasa swali la kujiuliza kwa nini bado tu maskini?

Nadharia ya Prof. Nurkse, binafsi huwa nakubaliana nayo japo wengi huwa wanaipinga, lakini kiuhalisi ni hoja yenye tija sana. Sasa hebu tuangalie uhalisia wa nadharia yake kwa mazingira ya Afrika, hasa Tanzania.

SAVINGS: Nchi kama nchi lazima iimarishe pato la ndani ili kuweza kujifanyia mambo yake bila interaction yoyote. Mfano JPM alipoingia Ikulu, nilifurahi sana eti kusema miezi miwili tu serikali yake imekusanya trillion 4, binafsi nilitarajia sasa nchi hii inaenda kuwa super tajiri ndani ya awamu moja tu ya JPM. Nurkse yeye ni perismist na misaada ya nje, maana inaifanya serikali kuingiliwa kisiasa.

MARKET: sasa watu kama hawazaliani, soko tunalipataje? Wakati waafrika tunashangilia uzazi wa mpango na tukiona gari limeandikwa VACECTOMY tunaruhusu wake zetu walikimbilie

Waafrika hatufikirii!!!!!!!!!
...good analysis!
 
Mtanzania anayetoa kauli kama hizi hafai kabisa kuitwa Mtanzania au Mwafrika for that matter!
Mkuu wala usijali huyo ni moja ya mabwabwa ya wazungu, linaishi hukoo, likisugulishwa kalio lake! usishangae sana tunayo mengi humu kwenye uzii!
 
MCC ni cha mtoto, pigo kuu ni pale mtakaposhurutishwa mkalipe madeni mnayodaiwa na wahisani mana mmezoea kukaa na pesa za watu kama zenu..
Huu ni msiba wa watz wote, nyie mko nchi gani jamn
 
Na Bado Mtafukua Makaburi Kubabake...Mtamfufua Nyerere,Sokoine,Kambona na Maiti Wote Ambao Mnahisi Watawapunguzia Kasi Ya Mashambuliz...Ila Ukweli Unabaki Pale Pale,Mtaisoma Namba Kudadadeki!
Heri yako wewe Yohana ambaye hutaisoma namba
 
Kwa hali hii ya sasa ambayo watoto wetu wanakaa chini.... Mitihani inaandikwa ubaoni watoto wanakili.... Hospitali ziko hovyo.... Huduma za afya mbovu.... Miundombinu hovyo na umaskini uliokithiri wa watu jeee itakuwaje huko mbele tukiondolewa hiyo misaada?
mkuu,kule meatu,kuna wale wanafunzi wa magufuli,hawa wamechelewa kuja shule,na wengi wanakuja hata leo hii kwa shinikizo la watendaji wa vijiji na kata!wazazi wanatishwa kupelekwa mbele ya vyombo vya sheria kama watawaficha wanafunzi wa vidato vya kwanza mpaka form four,kama hawata waleta shuleni!watendaji wanalazimishwa kuwatafuta watoto hao,kwa kuogopa kuwajibishwa ili kumfurahisha katibu tarafa,ambae anataka kumfuraisha mkuu wa wilaya,ambae anataka kumfuraisha mkuu wa mkoa,na ambae anataka kumfurahisha raisi,na ambae anataka kuwazuga wananchi kuwa anawajari!ni jambo la kupongezwa kwa serikali,lakini ni nani atawafundisha hawa watoto mwezi huu wanne,tena wanakaa chini kwa kuwa shule hazikujipanga na ongezeko lao!mwaka jana kabla ya Elimu Ya Bure,wanafunzi waliochelewa walikuwa wanatengwa,na wazazi wanaitwa na kuambiwa wachangie walimu ili wafanye kazi hii kama remidial classes,ila mwaka huu halmashauri zinasubiria fungu kutoka serikali kuu ili walimu walipwe wawafundishe,sasa hizi hela zaja lini ili watoto wetu wasome?
 
Mkuu wala usijali huyo ni moja ya mabwabwa ya wazungu, linaishi hukoo, likisugulishwa kalio lake! usishangae sana tunayo mengi humu kwenye uzii!
Kukaa nje si sababu. Wapo Watanzania wannaishi nje lkn ni wazalendo kuliko ss tunaoishi Tanzania. Pia lugha yako haipendezi sana humu jukwaani maana hatujuani unaweza ukamtusi mkweo! Hahahaaa!
 
Back
Top Bottom