Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,852
Kiukweli chama changu cha jembe na nyundo tumeshikwa pabaya ambapo panauma ila tutayamaliza haya na soon tutaanza kutana na kamati..kujua tunasolve vipi hili tatizo
Mpaka uwe na upeo wa kutosha ndio utaelewa mkuu!
Afrika imekuwa underdeveloped na waafrika wenyewe, kwa sababu moja kuu, waafrika wana akili sana sana sana lakini hawatumii akili zao kutatua matatizo na changamoto zinazowakabili.Sababu ya kutokutumia akili walizojaaliwa na Mungu imekuwa chanzo cha kukosa kila kitu, maendeleo,utajiri maisha bora n.k.Tuanze na Mababu wa mababu wa mababu zetu kabla ya wakoloni wao rasilimali kkama almasi na dhahabu walichezea bao hwakujishughulisha akili zao kufanya ugunduzi zaidi ya ule wa kula kuzaana na kulala(nina maana pana hapo),tusogee kidogo mababu wa mababu zetu hawa ni wale wa wakati ukoloni unakuja ,hawa walidanganywa kwa shanga na vioo mpaka wakawauza wenzao waliokuwa na nguvu nao pia hawakushughulisha akili isipokuwa kwa ajili ya matumbo yao,mababa wa mababu zetu zetu hawa walijitahidi kidogo baadhi walipata elimu na kutafuta uhuru lakini nao akili yao iliishia hapo hawakujenga misingi ya kuhakikisha vizazi vinavyofuata vitaendeshaje maisha yao pia walidanganyika wakaona cha mzungu ndio wakaacha kabisa kushughulika na kuendeleza vya kwao,mababu zetu, wengi wlifanikiwa kupata uhuru lakini baada ya kuupata hawakujua waufanyie nini,hawakuwa na mpango mkakati wakajiingiza katika kufuata milengo ya kiuchumi ya Magharibi au Mashariki bila kujenga muundo msingi unaolinganna na jiografia hulka na asili ya watu wa bara hili matokeo yake kuangukia katika mfumo tegemezi wa mapokeo.Yaani bila mzungu hatuwezi,hawwakujenga mfumo wa kumwezesha mwafrika kujenga ,kuboresha na kugundua chake na hata akigundua chake ni lazma aombe ridhaa kwa mzungu.....Baba zetu, hawa ndio da ! Hawa uwezo wao ni mdogo sana ukilinganisha na vizazi vyote vilivyopita ,hawa ni watu wenye upeo finyu,ni watu wanaojali siwezi sema maslahi yao ,hapana hawa wanajali matumbo yao tu ni wezi wapiga dili .................................kwa hiyo Afrika was ,is and will always be underdeveloped na Waafrika wenyewe.View attachment 333820
Ukisoma kitabu hiki utajua namna Ulaya ilivyoididimiza Afrika!
Na bahati mbaya mpango huo bado haujaisha!
Tunaoshabikia misaada hatujui tutendalo!
View attachment 333824
Mhhhh! Wasifike huko sasa kiongozi!MCC ni cha mtoto, pigo kuu ni pale mtakaposhurutishwa mkalipe madeni mnayodaiwa na wahisani mana mmezoea kukaa na pesa za watu kama zenu..
Mhhhh! Wasifike huko sasa kiongozi!MCC ni cha mtoto, pigo kuu ni pale mtakaposhurutishwa mkalipe madeni mnayodaiwa na wahisani mana mmezoea kukaa na pesa za watu kama zenu..
kapotea, na hawezi kurudi!!akikujibu unitag!
mtunzi mwenyewe mzungu..hahahatatizzo watu wengi hawasomi vitabu wanaamini prpaganda wanazoambiwa kwenye cnn na mitandao ya jamii kama wangekuwa wanasoma vitabu hapa sizungumzii vitabu vya shigongo wangefanya mapinduzi makubwa ya kifikra
MTU anaye sema kweli siku zote huchukiwa!Mtanzania anayetoa kauli kama hizi hafai kabisa kuitwa Mtanzania au Mwafrika for that matter!
usijali umesomeka mkweee! tena mzalendo ka weye!Kukaa nje si sababu. Wapo Watanzania wannaishi nje lkn ni wazalendo kuliko ss tunaoishi Tanzania. Pia lugha yako haipendezi sana humu jukwaani maana hatujuani unaweza ukamtusi mkweo! Hahahaaa!
Unafurahia nchi kuingia kwenye misukosuko.Na Bado Mtafukua Makaburi Kubabake...Mtamfufua Nyerere,Sokoine,Kambona na Maiti Wote Ambao Mnahisi Watawapunguzia Kasi Ya Mashambuliz...Ila Ukweli Unabaki Pale Pale,Mtaisoma Namba Kudadadeki!
Ukiwa na upeo utagundua kujipendekeza kwa serikali kwa kujifanya kuwa SIZITAKI MBICHI HIZI ni motivation ya kusonga mbele.Mpaka uwe na upeo wa kutosha ndio utaelewa mkuu!
Hivyo vitabu vimeandikwa na waafrika? Ni mawazo na idea zilizotokana na mazingira yetu huku afrika?tatizzo watu wengi hawasomi vitabu wanaamini prpaganda wanazoambiwa kwenye cnn na mitandao ya jamii kama wangekuwa wanasoma vitabu hapa sizungumzii vitabu vya shigongo wangefanya mapinduzi makubwa ya kifikra
umekisoma hicho kitabu hivi kuandika kitabu kinachohusu kitu fulani ni lazima uwe unatoka hilo eneo kama ni hivyo waafrika wengi waliopata phd nje ya afrika phd zao ni feki maana maandiko mengi hayakutoka hukuHivyo vitabu vimeandikwa na waafrika? Ni mawazo na idea zilizotokana na mazingira yetu huku afrika?
Mtanzania anayetoa kauli kama hizi hafai kabisa kuitwa Mtanzania au Mwafrika for that matter!