"How Europe Underdeveloped Africa," By Walter Rodney!

"How Europe Underdeveloped Africa," By Walter Rodney!

Ama kweli, kumbe adha hurejesha shule kichwani. Kama ni kweli. Yaani walewale waliokuwa wakimkingia kifua JK kuhusu umuhimu na faida za safari zake nyingi hususan kuelekea Ulaya na Marekani leo hii wanawaponda "wazungu" kuwa si lolote wala chochote?

For sure our grand old party has ways of screwing up some folks minds and souls! Sijui ni kukithiri kwa dhiki binafsi ndiko kunapindisha wadau kiasi hiki!
 
Mkuu, haujatuambia ni hoja gani Walter alizozi-allocate kwenye kitabu chake hicho tajwa hapo juu, imekuwa kama wewe mwenyewe haujakipitia, ila tu ni kwa sababu title yake ni sawa na wazo lako, basi ukaona kina-fit.

Katika nadharia yake ya Ki-bourgeoisie (Vicious Circle of Poverty), Prof. Ragnar Nurkse anasema, "a society is poor because is poor." anaendelea kusema, "...it is poor because it lacks savings and consumption..."

Hapa tumeona maneno mawili ambayo Prof. anayatumia katika nadharia yake, yaani "savings" na consumption. Katika tafsiri yake ya haya maneno, Prof. Nurkse katika savings anamaanisha investment, tena uwekezaji wa ndani. Yaani kama Tanzania basi iwasogeze karibu na kuwatia moyo ma-tycoon kama kina Mengi, Bakhresa na wengine kwa nia njema na si kwa kuwavuta kwa malengo yao binafsi.

Neno la pili ni consumption, ambapo Prof. anamaanisha Markets, na yenyewe iwe ya ndani. Sasa kutengeneza soko la ndani ni kuruhusu watu wazaliane na ikiwezekana na kuwa-award wanaozaa kama kumbikumbi.

Kwa kifupi Prof. yeye, katika mtazamo wa kusema kwamba ukoloni, ambao ndio hoja kubwa ya Walter Rodney, ndiyo sababu kubwa ya waafrika kuwa maskini. Ukoloni umeshaisha siku nyingi, sasa swali la kujiuliza kwa nini bado tu maskini?

Nadharia ya Prof. Nurkse, binafsi huwa nakubaliana nayo japo wengi huwa wanaipinga, lakini kiuhalisi ni hoja yenye tija sana. Sasa hebu tuangalie uhalisia wa nadharia yake kwa mazingira ya Afrika, hasa Tanzania.

SAVINGS: Nchi kama nchi lazima iimarishe pato la ndani ili kuweza kujifanyia mambo yake bila interaction yoyote. Mfano JPM alipoingia Ikulu, nilifurahi sana eti kusema miezi miwili tu serikali yake imekusanya trillion 4, binafsi nilitarajia sasa nchi hii inaenda kuwa super tajiri ndani ya awamu moja tu ya JPM. Nurkse yeye ni perismist na misaada ya nje, maana inaifanya serikali kuingiliwa kisiasa.

MARKET: sasa watu kama hawazaliani, soko tunalipataje? Wakati waafrika tunashangilia uzazi wa mpango na tukiona gari limeandikwa VACECTOMY tunaruhusu wake zetu walikimbilie

Waafrika hatufikirii!!!!!!!!!
i salute you prof,your analysis is tight and good!
 
Ama kweli, kumbe adha hurejesha shule kichwani. Kama ni kweli. Yaani walewale waliokuwa wakimkingia kifua JK kuhusu umuhimu na faida za safari zake nyingi hususan kuelekea Ulaya na Marekani leo hii wanawaponda "wazungu" kuwa si lolote wala chochote?

For sure our grand old party has ways of screwing up some folks minds and souls! Sijui ni kukithiri kwa dhiki binafsi ndiko kunapindisha wadau kiasi hiki!
mkuu,wanalishwa unga wa ndele!
 
MCC ni cha mtoto, pigo kuu ni pale mtakaposhurutishwa mkalipe madeni mnayodaiwa na wahisani mana mmezoea kukaa na pesa za watu kama zenu..
Kwani wakifanya hivyo watausitisha utanzania wetu? Ama wataiuza Tanzania ili wapate fedha wanazotudai? Acheni ututusa. Kwa namna yoyote ile tutabaki kuwa Watanzania na Tanzania itadumu daima dumu!
 
Kwani wakifanya hivyo watausitisha utanzania wetu? Ama wataiuza Tanzania ili wapate fedha wanazotudai? Acheni ututusa. Kwa namna yoyote ile tutabaki kuwa Watanzania na Tanzania itadumu daima dumu!
kwani kasema Tanzania itakufa?tena itaishi,ila vyama vitakufa,japo naomba c.c.m kiwe cha kwanza
 
...wacha kutapatapa,hii misaada mlikuwa mnaitolea macho miaka yote,leo ndio umemkumbuka Walter Rodney baada ya misaada kuzuiwa,pathetic!
Una matatizo ya utambuzi na chuki dhidi ya Serikali ya 5 ambayo inatambua madhara ya misaada kwa kuhakikisha kila Mtanzania anachangia maendeleo ikuwa ni pamoja na:
1) Vijana kutokupoteza muda wa uzalishaji kwa kucheza pool (mfano)
2) Watumishi wa serikali na taasisi zake kutimiza wajibu wao kwa nidhamu na uzalendi
3) Kulipa kodi stahili na kwa wakati
4) Kuziba mianya na bomba za hujuma za uchumi.

Au uko nchi gani?
 
mkuu,kule meatu,kuna wale wanafunzi wa magufuli,hawa wamechelewa kuja shule,na wengi wanakuja hata leo hii kwa shinikizo la watendaji wa vijiji na kata!wazazi wanatishwa kupelekwa mbele ya vyombo vya sheria kama watawaficha wanafunzi wa vidato vya kwanza mpaka form four,kama hawata waleta shuleni!watendaji wanalazimishwa kuwatafuta watoto hao,kwa kuogopa kuwajibishwa ili kumfurahisha katibu tarafa,ambae anataka kumfuraisha mkuu wa wilaya,ambae anataka kumfuraisha mkuu wa mkoa,na ambae anataka kumfurahisha raisi,na ambae anataka kuwazuga wananchi kuwa anawajari!ni jambo la kupongezwa kwa serikali,lakini ni nani atawafundisha hawa watoto mwezi huu wanne,tena wanakaa chini kwa kuwa shule hazikujipanga na ongezeko lao!mwaka jana kabla ya Elimu Ya Bure,wanafunzi waliochelewa walikuwa wanatengwa,na wazazi wanaitwa na kuambiwa wachangie walimu ili wafanye kazi hii kama remidial classes,ila mwaka huu halmashauri zinasubiria fungu kutoka serikali kuu ili walimu walipwe wawafundishe,sasa hizi hela zaja lini ili watoto wetu wasome?
Hali ni mbaya sana!! Sasa kama now iko hivi baada ya kukatwa hiyo misaada itakuwaje?
 
Kweli ugumu Wa maisha ni kipimo cha akili Leo tanaanza kujadili Marxism haya ngoja niongezee pia kuna Dead Aid by DAMBISA MOYO kinamaelezo mazuri kuhusu misaada
 
Mwenye soft copy ya hiki kitabu naomba akidondoshe hapa jamani
 
Hivi ni kigezo gani kilikufanya wewe uwe mod? Mbona uko too low kiasi hiki?
alikuwa jipu, kila post iliyokuwa inaikosoa serikali alikuwa anaifuta au kuiunganisha ili ipoteze maana na kukosa wachangiaji..
 
Back
Top Bottom