Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,999
Mzee Mwanakijiji umekamata kwenyewe.Nadhani Mh.km amerudi ktk hii safu basi hii aiwekee note,ni extract muhimu.Serikali hadi leo bado wapo wanjisuasua kwa copywrites za wasanii tuu hawajui hata ktk patent kunaweza watoa wabongo kibao,kwani mtu km analowazo jipya na zuri akilewekewa patent analiuza au kukopea nalo na kuweza fanya kazi kwa kipindi fulani ambacho atakuwa amerudisha gharama zake na ndio sasa fungulia mbwa ianze ili kuleta upinzani.Mzee Mwanakijiji said:Nina idea moja ambayo kama serikali ikiamua kuifanyia kazi
a. Itainua jina la Utalii wetu
b. Itaingiza fedha za kigeni kuliko mahali popote Afrika
c. Na itaifanya Tanzania kuwa katika hadhi ya pekee yake kila watu wanapozungumzia utalii duniani.
I would like though to patent it. Sijawahi kuisikia mahali popote, haipo katika sera zetu za utalii, na siyo mawazo ya mtu mwingine (I didn't plagiarize). How can a Tanzanian patent an idea that will affect the tourism industry and earn him some good money?
Can I patent an Idea in US that will affect another foreign country? I'm willing to share that idea with someone who knows architecture, drawing, and marketing.....Believe me, once you hear it, It'll blow you mind!!!!!!
Nina idea moja ambayo kama serikali ikiamua kuifanyia kazi

Ulifikia wapi na hii idea Mkjj?
Never got a satisfying response... nimeishia kupatent hapa hapa US...
Kwani Tanzania imefungwa na U.S. patent rights?
Ulishajaribu kuwasiliana na wahusika wa hizi Tanzania legislations:
- Trade and Service Marks Act
- The patent rights
- the copyrights and Neighboring Rights Act
By the way, you don't patent an idea, you patent an invention. Oh well, all inventions begin with ideas anyway. So.....
Never got a satisfying response... nimeishia kupatent hapa hapa US...
Acha fix wewe Mwanakijiji.....
hutaki sasa?
Never got a satisfying response... nimeishia kupatent hapa hapa US...
Well, if you have patented the idea (here in the US) then tell us what it is.....usilete mambo ya patent pending....
Ili kiwe nini nikiwaambia? Tayari ninao watu wa kutosha tu wanaonitakia mabaya, I don't need to add more.