How can I check my luck by date of birth?

How can I check my luck by date of birth?

Numerologist wanaita life path number!

Mfano mimi ni life path number 4 baada ya kujumlisha tarehe yangu ya kuzaliwa mwezi na mwaka nikapata 40, therefore 4+0= 4

Life path number 4 ndio namba yangu ya bahati according to numerologist na sifa + madhaifu yake yanaendana na mimi kabisa

Ila wanasema life path number 8 ndo baba lao very powerful na ina some sorts of richness
Mnasomaje hizo namba jaman ili na sisi tuangalie mamikos yetu?
 
Kwema wakuu

Hali ya maisha imekuwa ngumu, imenibidi niingie google chapu kuangalia namba yangu ya bahati labda ntatoboa

Ila nilichokutana nacho nimepagawa nikasema nije nililete kwenu wakuu hamjawahi kushindwa, angalia hapo chini walivyofafanua namna ya kupata namba yako ya bahati kupitia siku ya kuzaliwa

To begin with, add the digits in your birth date until you get a single-digit number.

For example, if your birthday is January 28, 1992, you would add 1+2+8+1+9+9+2 to get 32. Then, you would add 3+2 to get 5. So, in this case, five would be your lucky number

Baada ya mimi kuingiza namba zangu na kuzijumlisha mzigo ukaja 49, sasa ukichukua 4+9=13

Hapo nikatetemeka kidogo nusu nilie maana hii namba nasikia ni hatari sana, hata matajiri hawaitaki kwenye hotel zao

Sasa mimi ntatoboa kweli kwa 13?
Sijaelewa kwa kweli
 
Samahan kiongozi , hiyo 49 uliyojumlisha umeipataje?

Maana ulipata 32 ukasema namaba ya bahat ni 5 kwamaana ya 3+2 sasa hapo 49 imekujaje ili na mm niangalie yangu?
 
Samahan kiongozi , hiyo 49 uliyojumlisha umeipataje?

Maana ulipata 32 ukasema namaba ya bahat ni 5 kwamaana ya 3+2 sasa hapo 49 imekujaje ili na mm niangalie yangu?
Chukua tarehe ya kuzaliwa, mwezi na mwaka jumlisha

Mfano: umezaliwa 10-4-1990
1+0+4+1+9+9+0=24
Chukua 2+4=6
Life path number yako ni 6
 
Umeyatimba mwanetu ngoja mtaalamu wa namba aje kukusaidia DR Mambo Jambo
😅😅😅
Hiyo sio Lucky number kwanza hiyo ni lifepath number..
Ni namba ya mapito yake tu..
Luck number mara nyingi inadeal na Birth Date na month peke yake..
Aau kwa akadean wanadeal na Date peke yake..
 
Hapo walipoandika ni wagumu kubadilika tabia ndiyo 7 yangu ilipokolea
Life is all about math!

Ukizingatia hizi hesabu utajikuta unajua mambo mengi sana juu yako

Hata mke au mume inabidi uwe nae ambae ana relate na life path number yako

Kuna kazi au biashara ambazo inabidi ufanye na usifanye kabisa usipozingatia haya lazima uanguke kiuchumi
 
Kuwa life path number 8 sio hoja kubwa!

Muhimu ni kujua namna ya kutumia namba yako kama luck number

Itakusaidia katika mambo mengi ya mafanikio na itakuongoza vitu gani vya kufanya na vipi si vya kufanya,

Mpaka kazi na hata mke gani wa kumuoa, so lazima uwe kwenye system ya life path number 8 ili uwe powerful na mwenye mafanikio
Sasa tuelekeze tufanyaje au nije inbox😅
 
Back
Top Bottom