How can I check my luck by date of birth?

How can I check my luck by date of birth?

mkuu mimi nime imekuja 10 jika 1+0 ikaja 1

ehee nipe madini
Life path number 1 inatupa watu wa karimu, wenye kupenda kuona mafanikio ya wengine, wepesi kusaidia wengine

Madhaifu:
Watu wakali sana/aggressive
Hupenda matambo boastfulness

Hayo ni kwa uchache sana kuna mengi zaidi inabidi uyajue kuhusu namba yako na kuyaishi ili upate mafanikio na furaha
 
Ndio zipitie kwa umakini ziweke kwenye note-book anza kuziishi utanishukuru

Maisha ni number hapa hakuna uganga na mafanikio yapo huku

Kwa mfano mimi najua siku zangu mbaya na siku zangu nzuri.
Kuna mshikaji wangu nilishamwambia mimi siku fulani ni mbaya kwangu akawa anapuuzia na kudharau

Ila sasa hivi amenyoosha mikono na amekubali kweli ninayajua maisha yangu, maana kila nikitoka nae hiyo siku lazima tupate majanga
Nimesoma nitafatilia hizo tarehe nione maajabu yake.....
 
Uko sahihi kabisa asilima 99.9%
Vizuri sana mkuu, mimi ni mfano mzuri wa kwenye haya maswala ya number!

Yaani najua vitu vingi sana kupitia namba yangu hata pia tarehe ya kuzaliwa

Mama yangu na rafiki zangu nilikuwa nikiwashirikisha kuhusu siku zangu nzuri na mbaya au rangi walipuuzia sana na kutoamini

Ila leo hii wamekubali na wanaiona kama mchawi, kumbe ni shauku ya kusoma na kutamani kujitambua
 
Life path number 9 inatupa watu wenye kujitambua na wenye bidii sana ambapo hupata mafanikio makubwa kiuchumi.

It is even si powerful same to number 8

Madhaifu:

Ni watu wadhaifu kuachia mambo yaende-Trouble letting go

Wapo emotional sana
Niko hapa

Yaani hapo kwenye madhaifu nimepatiwa kabisa
 
Vizuri sana mkuu, mimi ni mfano mzuri wa kwenye haya maswala ya number!

Yaani najua vitu vingi sana kupitia namba yangu hata pia tarehe ya kuzaliwa

Mama yangu na rafiki zangu nilikuwa nikiwashirikisha kuhusu siku zangu nzuri na mbaya au rangi walipuuzia sana na kutoamini

Ila leo hii wamekubali na wanaiona kama mchawi, kumbe ni shauku ya kusoma na kutamani kujitambua
Naomba msaada nilizaliwa tarehe 27/01
Tangu nimeanza kujitambua napatwa na haya
1.Kila mwezi March na septemba ya kila mwaka lazima kuna jambo baya litakalo sababisha mfadahiko wa moyo kwangu .Linaweza kuwa jambo nililolitenda miezi ya nyuma lakini litaibuka Kwa sura nyingine katika miezi hiyo
 
Back
Top Bottom