How can I check my luck by date of birth?

How can I check my luck by date of birth?

Kwema wakuu

Hali ya maisha imekuwa ngumu, imenibidi niingie google chapu kuangalia namba yangu ya bahati labda ntatoboa

Ila nilichokutana nacho nimepagawa nikasema nije nililete kwenu wakuu hamjawahi kushindwa, angalia hapo chini walivyofafanua namna ya kupata namba yako ya bahati kupitia siku ya kuzaliwa

To begin with, add the digits in your birth date until you get a single-digit number.

For example, if your birthday is January 28, 1992, you would add 1+2+8+1+9+9+2 to get 32. Then, you would add 3+2 to get 5. So, in this case, five would be your lucky number

Baada ya mimi kuingiza namba zangu na kuzijumlisha mzigo ukaja 49, sasa ukichukua 4+9=13

Hapo nikatetemeka kidogo nusu nilie maana hii namba nasikia ni hatari sana, hata matajiri hawaitaki kwenye hotel zao

Sasa mimi ntatoboa kweli kwa 13?
Pole sana mkuuu...

Think outside the bOx not inside
 
Innovation, research, engineering, technology, psychology, spirituality, teaching, digital invention, and journalism

Yaani mmebarikiwa kuwa na kipawa cha kutafuta majibu ya matatizo makubwa kwenye dunia
Je kwa namba 6 wafanye kazi au Biashara gani
 
Mkuu namba 5 umeulizwa zaidi ya mara 2 hujajibu.
Life path number 5 inatupa watu ambao ni wadadisi, wanaopenda safari, watu ambao wanapenda kujichanganya na watu, watu wenye nguvu, watu wasiogopa na pia wanapenda sana burudani

Madhaifu:

-Hawana kujituma katika jambo fulani
-Hawana muendelezo katika kufanya jambo fulani, ni rahisi kukata tamaa
-Hawatabiriki warahisi kugeuka
 
Kwenye madhaifu kote sina hizo tabia.
 
Hii imekaaje wakuu,
Mimi ni namba 7
Baby mama namba 3
My son namba 4
Ukijumlisha ya wife na son unapata 7,

Sijui hata nawaza nini kua sent from heaven au [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Anyway, naombeni muongozo wa namba 3
 
Hapo nikatetemeka kidogo nusu nilie maana hii namba nasikia ni hatari sana, hata matajiri hawaitaki kwenye hotel zao

Sasa mimi ntatoboa kweli kwa 13?

Mentality yako kama ipo hivi, kutoboa kwako ni mtihani...
 
Kwenye madhaifu kote sina hizo tabia.
Hizo ni sifa na madhaifu chache kuhusu life path number 4, zipo nyingi sana ambazo sijaziandika

Ni jukumu lako kuzitafuta, kama una amini katika namba

Pia unaweza kujua mambo mengi kuhusu wewe kupitia tarehe yako ya kuzaliwa na mwezi
 
Mentality yako kama ipo hibi, kutoboa kwako ni mtihani...
Watanzania tumeingiwa na kasumba moja mbaya sana ya kuwakatisha watu tamaa na kuwadhihaki katika mawazo yao hata kama ni ya kijinga bila kuwapa suluhu ya jambo hilo!

Mentality yake ni mbaya kutokana na mawazo yako, je suluhisho ni nini?

Yaani umekosoa bila kutoa suluhisho kwa mtazamo wako, kwamba bwana mdogo fanya hivi au pita huku utatoboa achana na mentality hii....
 
Hizo ni sifa na madhaifu chache kuhusu life path number 4, zipo nyingi sana ambazo sijaziandika

Ni jukumu lako kuzitafuta, kama una amini katika namba

Pia unaweza kujua mambo mengi kuhusu wewe kupitia tarehe yako ya kuzaliwa na mwezi
Namba 4 au namba 5?
 
Naomba nijuze namba 2 natakiwa nifanye kazi gani na namba ipi ni ya kushirikiana nayo
 
Hizo Namba zinatoa hatima ya siku yako ya kifo?

Mfano ukija kwenye astrology wanakuchambua alafu wanakwambia wewe kaa mbali na magonjwa ya zinaa ukiukwaa umekufa, au kaa mbali na ajali za maeneo fulani labda kichwa, Miguu, kifua au mapaja, nk ukiuliza unaambiwa wewe kwa ulivyo na nyota yako ukipata ajali ya kichwa kuna mawili ufe au upatwe na tatizo la ubongo n so on

Je! Numerology zinatoa hatima ya mtu kwamba atakufaje?

Jibu: numerology haitoi hatima ya mtu kwamba atakufaje au ajiepushe vipi na kifo chake, ni astrology pekee ndio hufanya hivyo kidogo na palmistry kwa mbali
Aache tu ahamie.kwemye kuvaa pete ya jiwe lake. Yeye akipata red garnet na turquoise stone avae. Awe anatembea na viongoz kwenye pete
 
Mfano nimeshaijua life path number yangu,naitumiaje ili niweze kutoboa kwenye interview ya kazi?
 
Mfano nimeshaijua life path number yangu,naitumiaje ili niweze kutoboa kwenye interview ya kazi?
Life path number inakupa muongozo mzima wa namna ya kuishi kutokana na namba yako.

Mfano: kazi za kufanya, biashara za kufanya, mke wa kuoa n.k

Sasa kabla ya kuingia kwenye interview inabidi ujitambue kwanza kama hiyo kazi inakufaa kutokana na life path yako?
 
Life path number 9 inatupa watu wenye kujitambua na wenye bidii sana ambapo hupata mafanikio makubwa kiuchumi.

It is even si powerful same to number 8

Madhaifu:

Ni watu wadhaifu kuachia mambo yaende-Trouble letting go

Wapo emotional sana
Daaa mkuu hapo kwenye madhaifu ni sahihi kabsa,inawezekanaje aisee?..[emoji23]
 
Life path number inakupa muongozo mzima wa namna ya kuishi kutokana na namba yako.

Mfano: kazi za kufanya, biashara za kufanya, mke wa kuoa n.k

Sasa kabla ya kuingia kwenye interview inabidi ujitambue kwanza kama hiyo kazi inakufaa kutokana na life path yako?
Yeah tayari mimi niko katika sector zilizotajwa kwenye hiyo life path number. Does this mean nikienda kwenye interview nina uhakika wa kupata kazi, just because the life path number aligns with that particular job?
 
Back
Top Bottom