How can I check my luck by date of birth?

How can I check my luck by date of birth?

Mimi ni 8 mkuu, ila choka mbaya.
Kuwa life path number 8 sio hoja kubwa!

Muhimu ni kujua namna ya kutumia namba yako kama luck number

Itakusaidia katika mambo mengi ya mafanikio na itakuongoza vitu gani vya kufanya na vipi si vya kufanya,

Mpaka kazi na hata mke gani wa kumuoa, so lazima uwe kwenye system ya life path number 8 ili uwe powerful na mwenye mafanikio
 
.
Mkuu mimi 6 hii ikoje??
 
.
Mkuu mimi 6 hii ikoje??
Huo ni uchawi maulamaa wanaita shirki

Mamajusi waliomfuata Yesu na kwenda kumpa Ubani, Uvumba na Manemane walikua washirki, hivyo vitu vitatu kwenye masuala ya shirki vina nguvu sana, ukifa Ubani unachomwa ukizaliwa Ubani unachomwa ukioa Ubani unachomwa, msikitini Ubani unachomwa Kanisani Ubani unachomwa na kufukizwa kanisa zima kabisa toka mbele mpaka nyuma
 
.
Mkuu mimi 6 hii ikoje??
Life number 6 ni mtu wa kujali na kupenda, yaani ni watu wa mahaba very romantic

Ni watu ambao wanatengeneza marafiki wakubwa na hufanikiwa katika sekta ya elimu, kufundisha au maswala ya hospital, nursing na maswala ya counselling

Madhaifu:

Unajali sana mawazo yako kuliko ya wengine
Unapenda kutawala watu wako wa karibu
Mkorofi
 
Nilizaliwa tarehe 13 April.
Tarehe 13 April alizaliwa Nyerere
( Everyone knows about him)
Tarehe 13 April alizaliwa Euphrase Kezilahabi (Professor na mwandishi nguli wa vitabu vya falsafa na mashairi kwa lugha ya kiswahili)
Tarehe 13 August alizaliwa Farid Qubanda.( Fid Q)
 
Life number 6 ni mtu wa kujali na kupenda, yaani ni watu wa mahaba very romantic

Ni watu ambao wanatengeneza marafiki wakubwa na hufanikiwa katika sekta ya elimu, kufundisha au maswala ya hospital, nursing na maswala ya counselling

Madhaifu:

Unajali sana mawazo yako kuliko ya wengine
Unapenda kutawala watu wako wa karibu
Mkorofi
Hizo Namba zinatoa hatima ya siku yako ya kifo?

Mfano ukija kwenye astrology wanakuchambua alafu wanakwambia wewe kaa mbali na magonjwa ya zinaa ukiukwaa umekufa, au kaa mbali na ajali za maeneo fulani labda kichwa, Miguu, kifua au mapaja, nk ukiuliza unaambiwa wewe kwa ulivyo na nyota yako ukipata ajali ya kichwa kuna mawili ufe au upatwe na tatizo la ubongo n so on

Je! Numerology zinatoa hatima ya mtu kwamba atakufaje?

Jibu: numerology haitoi hatima ya mtu kwamba atakufaje au ajiepushe vipi na kifo chake, ni astrology pekee ndio hufanya hivyo kidogo na palmistry kwa mbali
 
Eheeee [emoji849]
 
Numerology, astrology and horoscopes are three practices which share a common belief that our date of birth and corresponding star alignments give each of us certain personality traits and characteristics,

and that we can somewhat predict our futures by observing the stars and energies around them!
 
Kwema wakuu

Hali ya maisha imekuwa ngumu, imenibidi niingie google chapu kuangalia namba yangu ya bahati labda ntatoboa

Ila nilichokutana nacho nimepagawa nikasema nije nililete kwenu wakuu hamjawahi kushindwa, angalia hapo chini walivyofafanua namna ya kupata namba yako ya bahati kupitia siku ya kuzaliwa

To begin with, add the digits in your birth date until you get a single-digit number.

For example, if your birthday is January 28, 1992, you would add 1+2+8+1+9+9+2 to get 32. Then, you would add 3+2 to get 5. So, in this case, five would be your lucky number

Baada ya mimi kuingiza namba zangu na kuzijumlisha mzigo ukaja 49, sasa ukichukua 4+9=13

Hapo nikatetemeka kidogo nusu nilie maana hii namba nasikia ni hatari sana, hata matajiri hawaitaki kwenye hotel zao

Sasa mimi ntatoboa kweli kwa 13?
Hiv kwa nini wabongo mnaficha miakaa sana
 
Mimi 9 naomba mniambie,halafu orodhosheni luck namba zote na maana zake!
Life path number 9 inatupa watu wenye kujitambua na wenye bidii sana ambapo hupata mafanikio makubwa kiuchumi.

It is even si powerful same to number 8

Madhaifu:

Ni watu wadhaifu kuachia mambo yaende-Trouble letting go

Wapo emotional sana
 
Back
Top Bottom