How can I check my luck by date of birth?

How can I check my luck by date of birth?

Vipi kuhusu namba 1 life path
numberology_chart_720.jpg
 
Nazijuaje sasa au nirudi huko gugu nikasome tena
Ndio zipitie kwa umakini ziweke kwenye note-book anza kuziishi utanishukuru

Maisha ni number hapa hakuna uganga na mafanikio yapo huku

Kwa mfano mimi najua siku zangu mbaya na siku zangu nzuri.
Kuna mshikaji wangu nilishamwambia mimi siku fulani ni mbaya kwangu akawa anapuuzia na kudharau

Ila sasa hivi amenyoosha mikono na amekubali kweli ninayajua maisha yangu, maana kila nikitoka nae hiyo siku lazima tupate majanga
 
Numerologist wanaita life path number!

Mfano mimi ni life path number 4 baada ya kujumlisha tarehe yangu ya kuzaliwa mwezi na mwaka nikapata 40, therefore 4+0= 4

Life path number 4 ndio namba yangu ya bahati according to numerologist na sifa + madhaifu yake yanaendana na mimi kabisa

Ila wanasema life path number 8 ndo baba lao very powerful na ina some sorts of richness
sisi wengine life path no. 3
 
sisi wengine life path no. 3
Life number 3 inatupa watu wenye sifa ya kuwa na mvuto, mwenye uwezo wa kushawishi, mtu mwenye kujichanganya na watu, mtu mwenye matumaini na jasiri kuhusiana na future yake

Ni watu wenye kupenda kujihusisha na watu wengine, kipawa cha kuweza kuwasiliana vizuri sana either kwa maaandishi au maneno

Madhaifu:
Ni watu ambao ni insecure- wenye wasiwasi
Ni watu wa wenye kupenda kufatilia mambo ya watu
Ni watu ambao hawana nidhamu
 
Life number 6 ni mtu wa kujali na kupenda, yaani ni watu wa mahaba very romantic

Ni watu ambao wanatengeneza marafiki wakubwa na hufanikiwa katika sekta ya elimu, kufundisha au maswala ya hospital, nursing na maswala ya counselling

Madhaifu:

Unajali sana mawazo yako kuliko ya wengine
Unapenda kutawala watu wako wa karibu
Mkorofi
mkuu mimi nime imekuja 10 jika 1+0 ikaja 1

ehee nipe madini
 
Back
Top Bottom